Ontario (Sirjeff) ametuleta fursa kwa mara nyingine

Troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
19,866
38,475
Maelezo yote hapa


Semina siku 2 kiingilio 40000
%25F0%259D%2595%25BE%25F0%259D%2596%258E%25F0%259D%2596%2597%25F0%259D%2596%258F%25F0%259D%25...jpeg
 
Watu wamefundishwa forex na wanaifanya hadi leo,wengine wananufaika na wengine wanatafunwa,huo utapeli wa Sir jeff sijawahi kuuona!! Japo kuna wakati mimi pia nilianza kuamini maneno ya haters kuwa huyu jamaa katapeli watu,kuna mwanafunzi mmoja wa ontario alikuja kunifundisha forex bure baada ya yeye kufundishwa kwa malipo,na hadi sasa naweza kusema huyo jamaa amenisaidia sana,naanza kuona mwanga wa mafanikio kwa forex,nawezq angalau kuingiza dola kumi hadi ishirini kwa siku nzuri nisipoingiza tamaa,kinacho wa cost traders wengi ni tamaa ya kuwa matajiri ndani ya wiki,sijui kama ontario aliwafundisha kuwa wanaweza kuwa ma milionea ndani ya mwezi!! ONTARIO ni kijana mpambanaji aliyejaaliwa vipaji lukuki na anayeweza kuvitumia vipaji vyake vyema kujiinua kiuchumi na kuwainua wengine,ila wabongo kwa fitna wamefuzu.
 
Huyo dogo yuko smart, I give him that; he preys on pyschology ya unemployed youth and people who wants an easy ride Kwenye maisha

Kijana ambaye kula/kodi yake ni ya mashaka, bado akalambwe 40K??

na ukisoma posts zake utagundua ana lack exposure, anadhani kila mtu aliyeajiriwa analipwa Laki 7, too bad employed people ni wasiri sana

Aje kwenye Corporates huku aone kaka zake wanavyoingiza hela
 
Back
Top Bottom