Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

Status
Not open for further replies.
Previous nilikua nimemfolo IG na Tweet, coz I like postive mind and spirit! Later niliacha kufanya hivyo kwakua niliona ni kinda Inspiration speaker.
My instincts hua sifanyi kitu kutoka kwenye msukumo wa nje, napenda nifanye kitu ambacho kimetoka ndani ya nafsi yangu.

Nachojua mimi nikiona kitu kinatumia nguvu kubwa kujitangaza basi si chema kwangu.. Business zinazopigiwa upatu na inspirational speakers zipo kama choo. Nje kinapambwa vizuri ila ndani kuna uchafu tu. Nitaendelea kulima au kutembeza vipodozi mpaka mwisho wa dahali. Nachoshukuru Mungu kanipa viungo kamili Nguvu na maarifa
View attachment 1562207
Sure,mapema sana tangu 2017 nilimfollow kipindi hicho alikuwa hspost sana.
Lakini nilianza kumuona kama kanjanja flani. Yaani anakuvuta kutoka mbali. Mara sifundishi fx sifundishi hiki. Baadae nakuja kushangaa anasema ana semina ulipie.
Zaidi nikaona anatumia nguvu nyingi sana kunadi anachokifanya. Akichallenjiwa kidogo anapanic.
 
Hakuna alicho Umbua bwana Kigogo, hii story aliipost Sirjeff mwenyewe tar 11 mwez wa nane.. ina zaid ya mwezi kule, kigogo kaibeba juzi kapost, kaitoa kwenye page ya Sirjeff pale pale, hakuna alicho umbuliwaView attachment 1562204View attachment 1562205
Tar 11 mwezi wa nane alikuwa alosto hivyo, juzi akafanikiwa kuwajengea wazazi wake nyumba ya kifahari. aisee kapata vichwa vya kuviburuza, vijana wa sikuhizi wanakosa reasoning.
 
Alafu how come mtu anakwambia nimetoka kwenye apartment ya 1000usd hadi kwenye chumba cha 40,000/= na bado umuone huyo mtu ni financial coach! Yaani anaonyesha miladi yake ya kuku, kilimo na biashara zake then anakwambia kafeli hadi kapanga chumba cha 40,000/= baada ya mwezi mmoja anamshukuru Mungu kwa kuwajengea wazazi wake nyumba ya kifahari, kwa mtu mwenye upeo haya ni maigizo tu, kuna vichwa vinawindwa.
 
Previous nilikua nimemfolo IG na Tweet, coz I like postive mind and spirit! Later niliacha kufanya hivyo kwakua niliona ni kinda Inspiration speaker.
My instincts hua sifanyi kitu kutoka kwenye msukumo wa nje, napenda nifanye kitu ambacho kimetoka ndani ya nafsi yangu.

Nachojua mimi nikiona kitu kinatumia nguvu kubwa kujitangaza basi si chema kwangu.. Business zinazopigiwa upatu na inspirational speakers zipo kama choo. Nje kinapambwa vizuri ila ndani kuna uchafu tu. Nitaendelea kulima au kutembeza vipodozi mpaka mwisho wa dahali. Nachoshukuru Mungu kanipa viungo kamili Nguvu na maarifa
View attachment 1562207
Mbona ulichoandika hakina uhusiano na picha na hiyo post mbona ya sasahivi prevois tulitegemea ni mwaka nyima.
 
Sure,mapema sana tangu 2017 nilimfollow kipindi hicho alikuwa hspost sana.
Lakini nilianza kumuona kama kanjanja flani. Yaani anakuvuta kutoka mbali. Mara sifundishi fx sifundishi hiki. Baadae nakuja kushangaa anasema ana semina ulipie.
Zaidi nikaona anatumia nguvu nyingi sana kunadi anachokifanya. Akichallenjiwa kidogo anapanic.
Hata twitter waliomchallenge wengi kawapiga block! Sasa kweli mtu mkweli kwa anachokifanya kwanini awapige block wanaomchallenge! Nijuavyo kwa muelewa challenge ndio huzifanya kuwa fursa.
 
Amemuumbua kwa maana hata humu JF hakuna aliekuwa anamfahamu Ontario kwa sura, licha ya kuwaliza watu wengi.
Aisee JF hakuna aliyekuwa anamfahamu kwa sura jamaa una akiri timamu.

Huku ndio usukire wenyewe.
 
Hataki

Dogo hataki changamoto yeye anapenda ndio mzee
Ndio akili za wapigaji, ukichunguza hata wachezesha kamari, huwa wanapenda uendelee kucheza na kama ukipata na ukitaka kuondoka, lazima wakulaghai kuwa ukiweka hapa utapata zaidi, lengo lao ni moja tu, ulichokipata ukiache hapo hapo na chako chote waondoke nacho. Ndivyo matapeli walivyo.
 
Shida ya huyu mdogo wangu Ontario anatumia nguvu mingi sana kuwaaminisha watu kua Anatengeneza pesa kwa Forex ambayo kwa mtanzania wa kawaida anaona ni Scam. Nina mdogo wangu wa kike hana Kazi ako Dar hapo alikua anaona nachezea yale ma Candlestick na natengeneza vijisent kwa ajili ya matumizi ya hapa na pale akatamani nikaanza mpa intro akaboreka ila mpaka leo sijawaimfundisha zaidi nasema aendelee kula kwa wazazi tu.Kushawishi mtu forex ni real kazi sana hasa Mswahili ambae amezoea kazi ni ile kuamka asubui kwenda mahala ukatoke jasho.

Jeff angeendelea kufanya hii kitu bila kutumia nguvu ya kushawishi kama watu wa qnet angetoboa mbali sana sasa mbwembwe nyingi ka anaenda ukweni watu wamekosa imani nae.Haoni mwenzie The Bold(habib) anafanya mambo yake kimya kimya na ni trader mkubwa sana ka sie wa akina sisi na hii corona watu wametengeneza sana pesa kupitia Forex.
 
Simu moja tuu inatosha ...unakuwa na version ya kawaida ya WhatsApp na nyingine WhatsApp bussiness zote kwenye simu moja ...number tofauti .
Ova
keisangora
Screenshot_20200907-213632.jpg

Mfano hai huu hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom