Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

Status
Not open for further replies.
kwahiyo nikileta na hizo credentials za account atakayopewa jamaa utakuja na kauli gani?? au kwa mfano nikakutumia namba ya Ontario alieshinda ukampigia simu akawa sie uliedhan utasema nn ?

kwamba hata ww bla bla ?
Ni kwa nini ulete mkuu hapa. Ama ni wewe mwenyewe
 
Shida ya huyu mdogo wangu Ontario anatumia nguvu mingi sana kuwaaminisha watu kua Anatengeneza pesa kwa Forex ambayo kwa mtanzania wa kawaida anaona ni Scam. Nina mdogo wangu wa kike hana Kazi ako Dar hapo alikua anaona nachezea yale ma Candlestick na natengeneza vijisent kwa ajili ya matumizi ya hapa na pale akatamani nikaanza mpa intro akaboreka ila mpaka leo sijawaimfundisha zaidi nasema aendelee kula kwa wazazi tu.Kushawishi mtu forex ni real kazi sana hasa Mswahili ambae amezoea kazi ni ile kuamka asubui kwenda mahala ukatoke jasho.Jeff angeendelea kufanya hii kitu bila kutumia nguvu ya kushawishi kama watu wa qnet angetoboa mbali sana sasa mbwembwe nyingi ka anaenda ukweni watu wamekosa imani nae.Haoni mwenzie The Bold(habib) anafanya mambo yake kimya kimya na ni trader mkubwa sana ka sie wa akina sisi na hii corona watu wametengeneza sana pesa kupitia Forex.
IMG_20200907_225131_636.JPG
 
Sir Jeff ni mmoja tu duniani sio hizi takataka zinazo download pesa... Ni Sir Jeff Bezos
Tapeli asiye na akili Tanzania ndo yule alikuwa anaenda vizuri akawachanganya watu Mara Forex mara Ponzi scheme haeleweki anataka kutuletea mambo ya Wanigeria
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom