MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Kwanini tunataka kugeuza mambo ya msingi kua siasa? Kufanya hivi ni kupelekea kushindwa kuyashughulikia ipasavyo. Hawa wananchi ambao wanataka kufanya maandamano kwanini wasitumie muda huo kufanya kazi? What is the outcome of this?
Viongozi wachache wa CCM mnahamasisha wananchi kufanya maandamano kwa gia ya kumuunga mkono Rais kumbe ni kukifanyia chama chenu promotion, kwanini kama mtu kafanya vizuri msitoe pongezi tu itoshe au mkatuma wawakilishi wenu kina Pole pole waende Ikulu kuwawakilisha kutoa pongezi?
Mnawaaminisha wananchi sasa kua kamati zote mbili za Prof Oroso na Mruma zililenga kukitangaza chama chenu sio? Kama ni hivyo ni nani atakayeamini yaliyopo ndani ya ripoti za kamati hizo? Watanzania wa sasa wamebadikika sana, labda wale wazee na wasiosoma ambao bado wanawaamini.
Huenda Mh Rais alikua na nia njema lakini kwa hiki mnachotaka kukitengeneza CCM mnamharibiria, mnataka tuchekwe na mataifa mengine? Fanyeni maandamano lakini matokeo ni 2019 kabla ya 2020.