Nchi hii bado wajinga ni wengi. Kama Rais anaagiza mkapa na kikwete wasisumbuliwe halafu hapo hapo anaagiza wote waliohusika na biashara ya hasara ya madini wachukuliwe hatua .na majitu yanashangilia kama mazuzu .unadhani kuna watu tena hapo.?
Tusubiri kudra za Mwenyezi Mungu tu kuikoa hii nchi kutoka kwenye mikono ya CCM.
Tusubiri kutoka wapi tena Mkuu? wakati wale tuliodhani wangetutoa ndo wanasubiri kubeba vinyesi vya CCM 2020 kama walivofanya 2015?