Only in Tanzania, ni nchi gani wananchi Waliwahi kuandamana kumuunga mkono rais kwa kazi nzuri?

utafikiri kazi ya rais ni kufanya mambo mabaya, anatakiwa kuweka maslahi ya walio wengi mbele wakati wote na ndio wajibu wake. only in communist countries utaona mambo ya mshikamano na kiongozi mkuu anapofanya jambo la "maana". ccm ina mizizi kwenye ujamaa na ukomunisti, no wonder they are still stuck with archaic ways of praising dear leader/fikira za mwenyekiti type of nonsense
poor communism
 
tatizo la nchi yetu wananchi wengi hawana uwezo wa kufikiri kamwe. kuandamana kwa kuunga mkono jambo ambalo halieleweki mpaka sasa ni uwendawazimu. hao waandamanaji wakalime badala ya kuhangaika mtaani.
 
Sa hivi wengi wanakaa kufikiria watafanya nini kumfurahisha magu, kuanzia mawaziri hadi mwananchi wa chini kabisa wa chini. Endeleeni kumpa kichwa, ashapiga biti vyombo vya habari, anakamata vilema kwa nguvu, endeleeni kusifia, huku ni wajibu wake, analipwa mamilioni kwa kazi hii, hafanyi bure.
 
Chadema issue ya Acacia na makanikia inawauma sana. Wakati Lissu akitishia serikali kushtakiwa mlikuwa kifua mbele mkijua mngeitumia nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuonesha Magufuli, serikali yake na ccm hawafai....kibao kimegeuka bila kutarajia na nyinyi sasa ndiyo mnaoumia na kuhangaika. Isitoshe Lowassa pia kamsifu Magufuli kuwa ametekeleza kile alichoahidi wakati wa kampeni zake pale Geita. Mshaurini Lissu apunguze uropokaji na autawale mdomo wake
Sioni kibao kilichogeuka hapa zaidi ya watanzania wengi hapo mbele wataujua uwongo wa Magufuli waziwazi mchana kweupe.
 
Nchi hii bado wajinga ni wengi. Kama Rais anaagiza mkapa na kikwete wasisumbuliwe halafu hapo hapo anaagiza wote waliohusika na biashara ya hasara ya madini wachukuliwe hatua .na majitu yanashangilia kama mazuzu .unadhani kuna watu tena hapo.?
Tusubiri kudra za Mwenyezi Mungu tu kuikoa hii nchi kutoka kwenye mikono ya CCM.
FEW TANZANIANS ARE LIVING, MOST EM ARE EXISTING
 
Nchi hii bado wajinga ni wengi. Kama Rais anaagiza mkapa na kikwete wasisumbuliwe halafu hapo hapo anaagiza wote waliohusika na biashara ya hasara ya madini wachukuliwe hatua .na majitu yanashangilia kama mazuzu .unadhani kuna watu tena hapo.?
Tusubiri kudra za Mwenyezi Mungu tu kuikoa hii nchi kutoka kwenye mikono ya CCM.

mkuu akisema jk na mkapa washughulikiwe si mtamshikia bango kwamba anakiuka katiba?? au umesahau kwamba katiba hairuhusu marais wastaafu kushughulikiwa kwa waliyoyafanya wakiwa marais???
 
Nchi hii bado wajinga ni wengi. Kama Rais anaagiza mkapa na kikwete wasisumbuliwe halafu hapo hapo anaagiza wote waliohusika na biashara ya hasara ya madini wachukuliwe hatua .na majitu yanashangilia kama mazuzu .unadhani kuna watu tena hapo.?
Tusubiri kudra za Mwenyezi Mungu tu kuikoa hii nchi kutoka kwenye mikono ya CCM.
WEWE NDO KASOME KATIBA RAIS WA TANZANIA ANAWEZA KUSHTAKIWA BAADA AU KABLA YA KUASTAAFU UONGOZI? UNAKURUPUKA KUFOKA WAKATI HUJUI LOLOTE KAA KIMYA WEWE
 
WAHUSIKA WALIO LIINGIZIA TAIFA HASARA VYOMBO VYA USALAMA FANYENI KAZI YENU-BY JPM
TULIFANYA KAZI KUTOKANA NA MAELEKEZO YA BOSI -MAWAZIRI
MKAPA NA KIKWETE TUWAACHE WAZEE HAWA WAMELITUMIKIA TAIFA-BY JPM
MAGUFULI AMETOKA KWA MUNGU-KWA UZALENDO HUU TUMUUNGE MKONO-BY WANANCHI

Sijui nani atamfunga Paka kengele-KUWA MTANZANIA INAHITAJI UVUMILIVU WA KIWANGO CHA PHD
 
Chadema issue ya Acacia na makanikia inawauma sana. Wakati Lissu akitishia serikali kushtakiwa mlikuwa kifua mbele mkijua mngeitumia nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuonesha Magufuli, serikali yake na ccm hawafai....kibao kimegeuka bila kutarajia na nyinyi sasa ndiyo mnaoumia na kuhangaika. Isitoshe Lowassa pia kamsifu Magufuli kuwa ametekeleza kile alichoahidi wakati wa kampeni zake pale Geita. Mshaurini Lissu apunguze uropokaji na autawale mdomo wake

Ngoja tulipwe kwaza ndio uje na hii hoja
 
Ndio uzuzu wenyewe huu naouzungumzia. Maandamano ya nini? Kama kweli yeye mzalendo awakamate wote waliohusika awatupe ndani kwanza.
Chenge hajapiga hodi huko kwenu mkuu? au yeye hataki kusafishwa na mtambo wa kusafisha MAFISADI nchini.
 
Kiongozi anapotimiza majukumu yake sisi wananchi natua sababu ya kumpongeza coz ni majukum yake lakin cc tutahoji pale ambapo atashindwa kitimiza majukum yake.kumpongeza ni sahihi lakin siyo kwa kiasi cha kutaka kuandamana.nikama baba ndani ya nyumba anapotekeleza mahitaji ndani ya nyumba haulizwi wala kupongezwa but huulizwa pale anaposhindwa kutimiza mahitaji hayo
 
Usitupangie chakufanya
Tumeamua kumuunga mkono rais wetu
Huyu ni Rais wa Watanzania
Ajabu watanzania kumuunga mkono Rais wao
Ficheni upumbavu wenu
Wacheni watu wenye Akili wafanye kile Kilicho mihimu kwao
 
utafikiri kazi ya rais ni kufanya mambo mabaya, anatakiwa kuweka maslahi ya walio wengi mbele wakati wote na ndio wajibu wake. only in communist countries utaona mambo ya mshikamano na kiongozi mkuu anapofanya jambo la "maana". ccm ina mizizi kwenye ujamaa na ukomunisti, no wonder they are still stuck with archaic ways of praising dear leader/fikira za mwenyekiti type of nonsense
Mkuu acha watanzania wafurahi, Wote tunajua ni nadra sana kumpata kiongozi aina ya MAGUFULI. Tulowategemea kuwa wapo serious ndo hao waloenda kubeba vinyesi vya CCM.
 
Nchi hii bado wajinga ni wengi. Kama Rais anaagiza mkapa na kikwete wasisumbuliwe halafu hapo hapo anaagiza wote waliohusika na biashara ya hasara ya madini wachukuliwe hatua .na majitu yanashangilia kama mazuzu .unadhani kuna watu tena hapo.?
Tusubiri kudra za Mwenyezi Mungu tu kuikoa hii nchi kutoka kwenye mikono ya CCM.

Huo ndo ukweli mkuu. Tunadanganyana hapa hakuna mwenye nia ya dhati ya kuisaidia hii nchi ikiwa hajakubali kuondoa kinga ya rais kutoshitakiwa. Maana atajenga huyu atabomoa ajaye na sheria inamlinda, na cha ajabu hawa wenzetu wa ccm wanashangilia tu bila kufikiri nini kimesemwa na kwa nini. Inatia aibu na inatuumiza Watanzania, maana viongozi wetu tuliowaamini wako kimaslahi zaidi, kama siyo ya kisiasa ni ya kiuchumi au yote kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom