Only in Tanzania, ni nchi gani wananchi Waliwahi kuandamana kumuunga mkono rais kwa kazi nzuri?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,162
2,000
Kwanini tunataka kugeuza mambo ya msingi kua siasa? Kufanya hivi ni kupelekea kushindwa kuyashughulikia ipasavyo. Hawa wananchi ambao wanataka kufanya maandamano kwanini wasitumie muda huo kufanya kazi? What is the outcome of this?

Viongozi wachache wa CCM mnahamasisha wananchi kufanya maandamano kwa gia ya kumuunga mkono Rais kumbe ni kukifanyia chama chenu promotion, kwanini kama mtu kafanya vizuri msitoe pongezi tu itoshe au mkatuma wawakilishi wenu kina Pole pole waende Ikulu kuwawakilisha kutoa pongezi?

Mnawaaminisha wananchi sasa kua kamati zote mbili za Prof Oroso na Mruma zililenga kukitangaza chama chenu sio? Kama ni hivyo ni nani atakayeamini yaliyopo ndani ya ripoti za kamati hizo? Watanzania wa sasa wamebadikika sana, labda wale wazee na wasiosoma ambao bado wanawaamini.

Huenda Mh Rais alikua na nia njema lakini kwa hiki mnachotaka kukitengeneza CCM mnamharibiria, mnataka tuchekwe na mataifa mengine? Fanyeni maandamano lakini matokeo ni 2019 kabla ya 2020.
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
21,183
2,000
Nchi hii bado wajinga ni wengi. Kama Rais anaagiza mkapa na kikwete wasisumbuliwe halafu hapo hapo anaagiza wote waliohusika na biashara ya hasara ya madini wachukuliwe hatua .na majitu yanashangilia kama mazuzu .unadhani kuna watu tena hapo.?
Tusubiri kudra za Mwenyezi Mungu tu kuikoa hii nchi kutoka kwenye mikono ya CCM.
 
Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
8,536
2,000
Chadema issue ya Acacia na makanikia inawauma sana. Wakati Lissu akitishia serikali kushtakiwa mlikuwa kifua mbele mkijua mngeitumia nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuonesha Magufuli, serikali yake na ccm hawafai....kibao kimegeuka bila kutarajia na nyinyi sasa ndiyo mnaoumia na kuhangaika. Isitoshe Lowassa pia kamsifu Magufuli kuwa ametekeleza kile alichoahidi wakati wa kampeni zake pale Geita. Mshaurini Lissu apunguze uropokaji na autawale mdomo wake
 
Jikite kwenye hoja!
 
kivukoni

JF-Expert Member
May 13, 2013
421
250
utafikiri kazi ya rais ni kufanya mambo mabaya, anatakiwa kuweka maslahi ya walio wengi mbele wakati wote na ndio wajibu wake. only in communist countries utaona mambo ya mshikamano na kiongozi mkuu anapofanya jambo la "maana". ccm ina mizizi kwenye ujamaa na ukomunisti, no wonder they are still stuck with archaic ways of praising dear leader/fikira za mwenyekiti type of nonsense
 
kivukoni

JF-Expert Member
May 13, 2013
421
250
Chadema issue ya Acacia na makanikia inawauma sana. Wakati Lissu akitishia serikali kushtakiwa mlikuwa kifua mbele mkijua mngeitumia nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuonesha Magufuli, serikali yake na ccm hawafai....kibao kimegeuka bila kutarajia na nyinyi sasa ndiyo mnaoumia na kuhangaika. Isitoshe Lowassa pia kamsifu Magufuli kuwa ametekeleza kile alichoahidi wakati wa kampeni zake pale Geita. Mshaurini Lissu apunguze uropokaji na autawale mdomo wake

wait and see. unafikiri wamekubali matokeo ya kamati. tukae tuongee ni lugha ya kidiplomasia tu. bruising battle lies ahead.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom