simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Magu latest god on the block! ccm oyee😨
Awamu hii kuna unafiki balaa aisee
Yes Lakini hapo walikuwa wakisifu hatua wanazochukua trafiki Wilaya ya Kilolo kwamba bila hilo wangeweza kupita Kilolo bila kukaguliwa lakini kwa uongozi makini wa Mh Rais viongozi wake hadi ngazi ya chini wanawajibika na ndio maana wamekuwa wakifuatilia sheria za barabarani ipasavyo. Hiyo ndiyo sababu akamshukuru Mh Rais Magufuli.Katika kile ambacho tunaweza kukiita Addiction ya Magufuli, manusra mmoja wa ajali ya basi la Majinja iliyotokea leo ameishukuru Serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli na jeshi la Polisi kwa kupona kwenye ajali.
Nadhani tunahitaji elimu ya kutenganisha utendaji wa Serikali na mambo mengine. Itafika kipindi hata ukimtia mimba mkeo unaishukuru Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli
Halafu ana lafudhi kama ya ndugu zake zumbemkuu na Chakaza
View attachment 1255024
Katika kile ambacho tunaweza kukiita Addiction ya Magufuli, manusra mmoja wa ajali ya basi la Majinja iliyotokea leo ameishukuru Serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli na jeshi la Polisi kwa kupona kwenye ajali.
Nadhani tunahitaji elimu ya kutenganisha utendaji wa Serikali na mambo mengine. Itafika kipindi hata ukimtia mimba mkeo unaishukuru Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli
Halafu ana lafudhi kama ya ndugu zake zumbemkuu na Chakaza
View attachment 1255024
Hiiiii.....Bagoshaaa?Hiiiii???!
Kama unakawivu kamejificha kwa mbaaliiiKuna mahali nimesema ni vibaya? Nikumbushe
Duh asalaalaa.....🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🤣🙌🙌🤣🙌🤣🤣🤣🙌🙌!
Wapi Rc wa Tabora
Nyie tupelekeni tu mnaanzaga hivihivi mwisho wa siku mtatwambia huyu nae ni mtakatifu wa watakatifu tena anamshinda mtakatifu yuleee!!!Yeye anaipongeza kuna wengine wanaiponda serikali kwa matatizo ambayo hayan uhusiano na serikali. Unaweza kukuta mtu analaumu Serikali ikiwa mkewe hapati mimba ivo ivo.