Only in Dar es Salaam , Kukuta Wazee Wa Makamo wanafanya haya.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,050
3,233
1. Kuunga Foleni kwenye Vibanda Mihogo na watoto wa shulen.
2. Kupitia Kwnye Vibanda vya Chips Usiku Kupata Chips Mayai Kabla ya kufika Nyumbani .
3.Kubishana Matokeo Ya Mpira na Watoto chini ya Miaka Kumi na nane .
4.Kuiziria Familia Eti Kisa Timu anayoishabikia Imefungwa.
5.Kutongoza Mabinti wadogo, na kutetea Ndoa za mabinti wadogo.
6.Kuagikwa Ugoni.


Mnaweza Endelea , kwa Hizo.ndizo Tabia Za hawa wazee waJiji Nikizozinasa kwa haraka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom