Only in CCM:Abiria kupewa Usukani Julai 23

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,095
103,343
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM Uchaguzi Mkuu wa 2015 Prof. Mwandosya
alinukuliwa akisema kuwa John Magufuli haifahamu na haijui
CCM kwa kuwa hajawai kuwa hata mjumbe wa tawi la CCM. Hatimae leo hii ndiye rais wa Tanzania na kinyume na dhana ya Demokrasia na Katiba ya CCM July 23 anatarajiwa kupewa uenyekiti wa chama!!Ajabu pekee na ajabu la karne ni kuwa mtu anayetarajiwa kupewa uenyekiti ni mtu asiyekifahamu kwa kiasi kikubwa cha na ajabu zito ni kuwa hajawai kuwa hata mjumbe wa tawi la CCM. Ajabu hili nalifananisha na Abiria asiye na ABC za udereva kupewa usukani utegemee mtafika salama.CCM chukueni hatua
 
mgekuwa mtaja na vyama mnavyotoka ingekuwa rahisi kuwajibu!!anywhere!chama kiliharibika kwa ufisadi uliyokithiri mpaka wapinzani wakapata hoja na kiki nyingi!!acheni unafiki hausaidi chama wala taifa!wana CCM wanatakiwa kuwa nyuma ya Rais kwa hali na mali ili kukijenga chama na kupata alama nzuri kwa wananchi!! kuwa kufanya hivi wataendelea kutawa na uchaguzi 2020 utakuwa very simple
 
watu mnaopinga kuwa rais asipewe uenyekiti ni kuwa yawezekana mmetumwa au hata kununuliwa !! itawatokea puani tu!!
 
Nenda kaungane na Mwandosya wako mfarijiane.
Hakuna jinsi MAGUFULI NDO CCM NATIONAL CHAIRMAN whether you like or not it is matter of time.
 
mgekuwa mtaja na vyama mnavyotoka ingekuwa rahisi kuwajibu!!anywhere!chama kiliharibika kwa ufisadi uliyokithiri mpaka wapinzani wakapata hoja na kiki nyingi!!acheni unafiki hausaidi chama wala taifa!wana CCM wanatakiwa kuwa nyuma ya Rais kwa hali na mali ili kukijenga chama na kupata alama nzuri kwa wananchi!! kuwa kufanya hivi wataendelea kutawa na uchaguzi 2020 utakuwa very simple

Hao wote wanaompinga ndio hao waliokua wakinufaika na ile system mbovu ya zamani. hapa watu wamejificha ndani ya cyber na hatuwajui lakini huo ndio ukweli. Na watapiga mayowe kwelikweli safari hii
 
Kwani kukifahamu chama ni hadi uwe kiongizi wa angalau ngazi yoyote ile? Kuna nafasi ngapi za uongozi ndani ya Chama za kuwatosha mamilioni ya wanachama?
 
Hivi wakati Mkapa anauacha huu uwenyekiti kelele zilikuwa kama hizi tunazozisikia sasa.? Wana historia tafadhalini tusaidieni.
 
ccm hili limewakaba, na hapa ndipo watajuwa kuwa kuna tofauti kati ya kufuma na kushona
 
Acheni fujo. Chairman Magufuli is certainly the best thing to happen to CCM. Huko ndiko kwenye vibweka kibao vinavyotuharibia nchi. Hahitaji hata uzoefu wa tawi kuvifagilia mbali. Apewe tu ili namba isomeke kikamilifu.
 
Back
Top Bottom