OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,015
- 114,360
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM Uchaguzi Mkuu wa 2015 Prof. Mwandosya
alinukuliwa akisema kuwa John Magufuli haifahamu na haijui
CCM kwa kuwa hajawai kuwa hata mjumbe wa tawi la CCM. Hatimae leo hii ndiye rais wa Tanzania na kinyume na dhana ya Demokrasia na Katiba ya CCM July 23 anatarajiwa kupewa uenyekiti wa chama!!Ajabu pekee na ajabu la karne ni kuwa mtu anayetarajiwa kupewa uenyekiti ni mtu asiyekifahamu kwa kiasi kikubwa cha na ajabu zito ni kuwa hajawai kuwa hata mjumbe wa tawi la CCM. Ajabu hili nalifananisha na Abiria asiye na ABC za udereva kupewa usukani utegemee mtafika salama.CCM chukueni hatua