majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 564
Mtanzania1, Pasco ametoa angalizo ambalo yeye mwenyewe ameshindwa kulifuata. Vile vile hatutakiwi kukubali kila jambo asemalo au kukataza Pasco hata kama halina mantiki bila ya sisi wenyewe kujifikirisha. Kama tukiunga mkono kila jambo kwa kuwa tu limesemwa na Pasco, basi tutakuwa 'puppet' wa Pasco. Mimi sipo tayari kuwa 'puppet' wa Pasco kwa kukataa kuzungumza kile nachoamini ni sahihi.Mkuu.....Pasco ametoa angalizo tusijadili suti wala muungano....tujadili tu kama tunawaamini wamerekani kuliko tunavyojiamini wenyewe