Online Money making: Technicality of synthetic Indices volatility and why i don't like Forex Technical Analysis

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,143
2,000
Guys it had been a while i didn't posted any thread yet in JamiiForums,

back to that i was here here enjoying the moments and the progress JF is doing and honestly i was enjoying it to see alot of newbies and pros keep in touch with JF, it what we call addiction but not yet to that it is motivation, so more life to all of you guys who was intouch in anyotherway with jamiiforums not to mention Tech n Gadgets. Going straight to what i will be talking here these are points to Note and don't say you ain't warned.

 • I do not in anyway advice anyone to invest in options trading
 • Binary option siyo biashara anayoweza kuifanya mtu yeyote kulingana na risky ambazo zipo, ndio mana inahitaji watu waliotayari kuloose what they invest, ndiyo maana without risks management capital yako utaiweka ktk risk.
If you noted that then let us proceed

SYNTHETIC INDICES

Synthetic Indices hususan volatility, boom and crash na step index hazina tutorials or maelezo mengi na volatility imekuwa ikichanganywa sana but ni fursa kwa wanaopenda technical analysis

Screenshot_20201231-023039[1].png

Screenshot_20201224-194141.png

Katika sehemu hii leo ningependa tuangalie faida tunazoweza zipata kupitia Synthetic Indices
kwanza kabsa nipende kusema kuwa FOREX, inaathiriwa na sababu za kibinadamu na kijiografia, kama tunavyofahamu kupanda na kushuka kwa Currency, lakini katika synthetic indices hicho kitu hakipo, na tunavyofanya technical analysis ktk FOREX tunakuwa tunaogopa sana fundamental factors wabantu wanaita news, sasa basi kama wewe ni technical analyzer basi Synthetic Indices might work properly for you kwasabu ktk synthetic we got no news.

Katika thread hii tutakuwa Tutakimbua Synthetic Indices moja baada ya nyingine huku tukiona ni brockers gani wanatoa aina za synthetic Indices hizo ambazo tutakuwa tukizielezea hapa.

Firstly kama tutakuwa pamoja hadi mwisho basi

Fuata hatua hizi.
 • Fungua Account Yako ya Deriv/Binary Hapa Deriv.com au Binary.com
 • Utaweka email yako na kisha baada ya hapo utatumiwa link ili uverify account yako, na baada ya kuverify utatengeneza Account yako ambayo ni Real kwa kujaza taarifa zako, Kumbuka unaweza kutrade kabla ya kufanya verification ya id na residential
 • so baada ya kutengeneza real account kwa kuingia kwenye Create new account then chagua Synthetic na kisha chagua account kama ni demo au real na taarifa utakazopewa ndiyo utazijaza hatua inayofuata kwenye MT, but tumia demo kwanza kujifunzia.
Screenshot_20201224-154849.png

Katika MT5 utatafuta blocker kwa kuandika Deriv Limited kisha utajaza details ulizopewa kwenye hatua iliyopita ikiwemo ID ambayo ni account number na password na usisahau kuchagua server kama ni Demo au real account, kisha utaweza ona products anazotoa deriv

Screenshot_20201222-154610.png • DBot ni robot ambayo inatolewa na Deriv/Binary kwaajili ya kufanya kazi kulingana na strategy yako mwemyewe unaipata hapa DBot
Implied VOLATILITY

Synthetic indices ni implied Volatility, kwa maana ya kuwa zinatokana pale ambapo Volatility ya stocks inalinganishwa katika Option Derivatives na derivatives katika financial ni instruments mfano USD currency ni 2319 Tsh, kwahiyo USD ni derivative instrument ambayo thamani yake inaitegemea Tsh ipande/ishuke, na ndipo katika option trading tunakuja kucall/put katika strike price fulani ambayo ndiyo entry price yetu pale tunapofanya option trading.

Sasa basi Volatility pekeyake huwezi trade kama instrument kwasabu ni measure ya risky ya stocks market kadhaa.

CaptureF.PNG

Volatility huwa katika expectation ya the next 30 days of SP, kwa maana ya kuwa Volatility lengwa ambayo ninaizungumzia hapa inakuwa calculated katika Standard & Poor ya zaidi ya Stock market 500 ambayo ni makampuni ya hisa, lakini calculations zote zinafanywa na computer, kulinga na na formulas ambazo zinakuwa zimewekwa, BUT tuelewe ya kuwa Volatility inapokuwa kubwa basi uwezekano wakupata faida kubwa ni mkubwa zaidi na pia uwezekano wa kupata hasara/loss kubwa pia ni the same kwa maana ya kuwa ni mkubwa zaidi ndio mana wengi huwa wanatrade as they expect a breakout katika forex.

Sasa Why Synthetic VOLATILITY ni bora
 • Synthetic Indices volatility inakuwa calculated kwa mategemeo ya movement ya hisa ktk 30days so think as This kind of Volatility haipo affected na vitu kama vile NEWS, ambazo ziko more fundamentally na huathiri sana bid and ask prices za FX market ndio maana kuna kuwa na big move ya pips katika FX as ukicompare na Indexed synthetic Volatility.
 • Unaweza kutrade vix the same kama unavyo apply orders ktk FX, kuset stop loss and take profit, kumodify na kuclose positions ambazo ktk fx tunaita orders
 • Inachukua muda mfupi kupata profit/loss ktk minimum lot size.
 • Unaweza kuwithdraw na kudeposit within a short time.
 • Unatrade within seven days au siku zote za wiki even monday n saturday
Deriv broker anatoa aina za volatility ambazo ni Volatility 10, 25, 50, 75 na 100

Screenshot_20201227-081837.png

Katika volatility hizi VIX 75 Imeonekana kuwa na lot size ndogo kabisa ya 0.001 ktk 75 inaweza kuingizia faida ktk muda mfupi vile vile hasara ktk muda mfupi, ndio maana jambo muhimu la kuzingatia ni entry point nzuri ili kuweza kupata profit.

Fluctuation au kushuka kwa S&P 500 ambayo ni standarnd and poor ya zaidi ya makampuni miatano, huwa inatokea pale volatility inapokuja kufika peak, na mara nyingi hapo ndio traders huwa wanaanza kusell, na uzuri wa vix if it is moving down it is going down and vice versa as kama unavyoona hapo kwenye chart so we keep selling at the right entry.

Broker ni wachache ambao hutoa VIX but kwa hapa tutamtumia DERIV ambaye ndiyo BINARY amefanya mabadiliko make as wanafanya kurebrand into Deriv na tutamtumia kwakuwa kudeposit na kuwithdraw ni very very simple waweza tumia hata njia ya simu na pia anatoa demo account for practice ktk MT5 ili upractice or kuangalia fuctionality ya strategies zako.

Pia anatoa DBot ambayo ni mfumo unaokuwezesha hata kama wewe sio coder kuingiza strategy zako ktk Dtrader ukiset ifanye unachotaka pale ambapo unaona signal zitatokea, kwa maana ya kufungua na kuclose positions

NEXT SESSION Tutaangalia tabia za Volatility katika kufanya technical analysis
Kwa maoni na maswali karibu hapa chini. na pia unaweza
subscribe Telegram Telegram: Contact @undisputedFX
@undisputedpips

snipa 2020

DEVELOPING STRATEGY PHASE (Volatility Index)

Njia tutakazotumia siku zote hapa zipo public , nothing is invinsible na hakuna atakaekuomba pesa yeyote even on my telegram groups, if somebody snipa asking about money he/she is a scam, na kumbuka sifanyi management ya accounts na pia sitoi ushauri wa watu kuwekeza, wekeza at your own willing

kwa maswali zaidi sasa my PM is open not closed like before.

At first baada ya kucreate your account hapa Easy SignUp With Africa, Asia and Europe Servers DERIV/BINARY zingatia haya, chagua server zilizopo karibu na wewe ilikutake advantage ya lagging kwasabu in a short time unaweza tengeneza profit/loss kubwa
so fungua account yako ya synthetic kwa kutumia Servers zilizopo Africa kwasabu ya speed ikilinganishwa na servers zingine zinazoweza kuwa mbali na wewe, Fungua Account yako kama ilivyoelekezwa pale juu na Baada ya ku upgrade into real Account fungua Synthetic account yako ukitumia African Servers Easy SignUp With Africa, Asia and Europe Servers DERIV/BINARY

TAKE PROFIT IN A HUNT

VIX huwa na tabia kadhaa lakini kwanza kabisa tutaangalia jinsi Candle pattern zinavyobehave, na kwa wale Forex traders nadhani watakuwa wakielewa pattern mbalimbali zinavyobehave, first time it's theoretical phase before going live.

FAKING/ RETRACING/ RETEST

oLvcZwp.png

VIX kuna muda inafake/retest, yaani inaonekana kama inamove katika direction fulani ilihali uhalisia ikiwa ni opposite direction, kwahiyo vitu vya kuzingatia nitavinote hapa chini.

BUY IN A BUYING/BULLISH TREND AND SELL INA SELLING/BEARISH TREND

Katika trend tunazokutana nazo katika VIX, huwa katika same direction kwa maana ya kuwa kama ina fluctuate in uptrend basi itaendelea tu kumove upward mpaka pale utakapofika muda wa kureach peak, na ndipo itaanza kushuka.
Sasa kubuy wakati wa Buying/Bullish trend ni jambo muhimu kwasababu,
Unaweza kubuy in a selling trend sawa na ukapata profit, hii huwa inawork fine to Professional Scalpers/experienced scalpers, na hawa scalpers huwa wanabuy in a Bearish/down trend na pia Wanasell in a Bullish/uptrend, na huwa wanafanikiwa kwasabu wanaelewa how VIX is behaving, wanaingia sokoni wakati ina retest na wanatrade with Impulse, and they take risk as at the end of the time those who take risk will end up being rewarded, and they knew if you don't take risks someone will take it for you.

cKYvCTF.png

CHANGAMOTO

Traders wengi wakisikia kuhusu Volatility hasa FX traders huja na full mindset of swinging yakuwa inamove up and down basi huwaza kuSWING, down baada ya VIX kureach peak and viceversa to uptrend, lakini they'll always be right but , some wanachoma accounts, kwasabu they can't torelate losses while VIX is pulling back to entry position and start generating losses, as we know VIX haina fundamental factors so, being good and abide to your strategy will give you an opportunity.

GOALS

Set your goals and behave the way you set em, HOW
Biashara yeyote huwa na strategy na changamoto ambazo wengi hukumbana nazo ni PSYCHOLOGICAL GAMBLING, kwamaana ya kamali. Kamali ni jambo unalolifanya bila kuwa na specific factors, mfano ukaweka coin kwenye betting panel na ukachagua tu mnyama ambaye wewe umempenda ilihali haujui how the machine is working or how it has been programmed to do, the same huwa inakuja kuapply ktk Trading. ndiomana as a startup watu hutengeneza profit na kuzirudisha kwa broker.
Mfano Account yenye equity 20USD trader akaanza na kupata profit up to 10USD in a day, lakini utakuta bado anaendelea kutrade, kwasabu ya hisia zakumpiga broker na kiuhalisia hana uwezo wa kuvumilia losses. na professional muda mwingi huwa if they had been told to torelate losses they don't take a profit which they afford loosing.

TAKE PROFIT MINDSET

Mindset za wengi ni kuwa unatakiwa kutake profit when you see em, sawa they might be right but what is the meaning of taking a risk then ? kuna saying kwamba uoga wako ndio umaskini wako, lakini nipende kusema kuwa kuwekeza katika aina hii ya trading hususani Margin na CFD zinahitaji sana uwe na uwezo wakuvumilia kupoteza ulichowekeza, yaani usiwekeze pesa ambayo unakuwa haupo tayari kuipoteza within a time, so kabla hatujaenda mbali sana next chapter tutaangalia ni jinsi RISK MANAGEMENT na tutakuwa tukizungumzia aina zote za trading yaani, Indices, Forex and CFD.
 
Attachments

 • Capture.PNG
  File size
  26.5 KB
  Views
  0
 • Capture.PNG
  File size
  26.5 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20201229-225656.png
  File size
  128.2 KB
  Views
  0
 • Screenshot_20201222-154619.png
  File size
  53.8 KB
  Views
  0

Hechinodemata

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
976
1,000
Volatility index is not real because no one no force behind movement of volatility, even demand and supply is not guarantee but forex is real and all force behind its movement is well known, eg during this time of corona every country will tray to reserve their currency into gold for the sake of their economy, what happen to volatility index? nothing bro. Volatility index is fake bro.
 
mswati52

JF-Expert Member
Jul 31, 2019
2,129
2,000
Mkuu hii kitu naipenda mno na ndio ninaifanya muda huu.

Mimi huwa naingiza sokoni dola chache kama 30 hivi na kila nipatapo faida nairudisha kwenye akaunti.
Hii hunisaidia kuingiza hadi dola 200 kwa siku.

Sijajifunza popote balu natumia uzoefu wangu wa forex.

Crash 500 index ndio naipenda kwani iko polite sana.
 
That is the time when the options market goes in sideways pattern compared to stocks market, so it is not fake mkuu ila sio real in time.
ndio tatizo watu wengi wanafeli kutokana knowledge za forex, mfano hapo unadai, kuhusu Corona kitu ambacho ni Fundamental factor na kipo ignored kwenye VIX na watu kuuza na kununua gold vitu ambavyo vina buyers na sellers.

The really technical analysis is where we found SVIX, there's no fundamental factors there, it's implied, you need to think comparing vix with svix, svix is implied volatility, so everything is generated randomly with 30 days expectation, kwahyo kinachoangaliwa ni volatility sio what is happening.

Fundamental factors is what made fx differ from this technical thing, which is applied in fx but the problem is news release joe.
You must be watching releases and Patterns while trading FX but in SVIX such a thing ain't applied
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,143
2,000
Mkuu hii kitu naipenda mno na ndio ninaifanya muda huu.

Mimi huwa naingiza sokoni dola chache kama 30 hivi na kila nipatapo faida nairudisha kwenye akaunti.
Hii hunisaidia kuingiza hadi dola 200 kwa siku.

Sijajifunza popote balu natumia uzoefu wangu wa forex.

Crash 500 index ndio naipenda kwani iko polite sana.
Na uzuri unaweza fanya fx with option trading,
synthetic Its more technical changamoto ya Forex your capital inakuwa on circulation of more than 3 trillion with all currency fundamental risks, most FX mentor wanafundisha technical analysis wakirashia fundamental analysis.
i dont ignore forex as long we can put it in options
 
mswati52

JF-Expert Member
Jul 31, 2019
2,129
2,000
Na uzuri unaweza fanya fx with option trading,
synthetic Its more technical changamoto ya Forex your capital inakuwa on circulation of more than 3 trillion with all currency fundamental risks, most FX mentor wanafundisha technical analysis wakirashia fundamental analysis.
i dont ignore forex as long we can put it in options
Kwa mimi mzoefu wa forex, ina mapaungufu mengi compare to binary.
1. Siku nzuri za ku trade /week ni 2 au 3 tu
2. Weekends hutrade
3. Mwisho wa mwaka kuanzia Nov had next year January haifai ku trade

FAIDA YA BINARY
1. Unatrade kila siku

But tatizo lake ni app yake ya mt5 huwa inakwama kwama sana

Note; Binary ni hatari zaidi kupotexa mtaji usipokuwa makini.

Japo inaweza kukupa utajiri overnight
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,783

Binary ashakabidhi virago muda kwa Deriv ww japokua ni sub-company ya Binary ila uongozi tofauti kwa sasa! N'way huyu Deriv wa sasa ni kiboko, bora hata enzi za Binary! Deriv anapiga manipulations za kufa raia, Nakumbuka baada ya siku 1 tu baada ya kurebrand company name & server alituonyesha sura yake halisi atakavyokua alichapa mitaji ya raia kadhaa mpaka wakaanza kulalamika kwenye group lao official la telegram kwa anayoyafanya, Binafsi nilikoswa koswa kidogo kuchoma...
 
Mkuu

Ilianza BetsOnMarket ndio badae wakarebrand kuwa Binary.
Baada ya Binary now wamerebrand kuwa deriv, kwahiyo sio kwamba Binary imeuzwa mkuu, kurebrand hawajaanza Leo.
Na haiko subs kama unavyoiweka hapa, Binary inakuwa merged into Deriv, ndio mana database ni ilele.
Honestly wamefanya mabadiliko makubwa sana.
 
Deriv ni hafai hata kidogo! Ame disable account ina za masela wangu kadhaa baada ya kuona kipigo kizito!
 
kenge 10

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,046
2,000
Wakuu nataka kujua kitu...., kwenye forex kuna online (mt4) na manual (Banks n' B de change) na hata zile currency pairs in reality zipo USD ipo EUR ipo. Pia kuna driving forces ( fundamental factors) nyuma yake. Sasa nataka kujua je hizi indeces ni nini unapotoka nje ya mt5 na nini kinafanya zimove?
mswati52 snipa Times9
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,292
2,000
Currencies are backed by their countries economies.

Commodities are the same.

What about those Synthetic indices?

Worse enough kuna broker mmoja tu anae offer such services.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,292
2,000
Kwa mimi mzoefu wa forex, ina mapaungufu mengi compare to binary.
1. Siku nzuri za ku trade /week ni 2 au 3 tu
2. Weekends hutrade
3. Mwisho wa mwaka kuanzia Nov had next year January haifai ku trade

FAIDA YA BINARY
1. Unatrade kila siku

But tatizo lake ni app yake ya mt5 huwa inakwama kwama sana

Note; Binary ni hatari zaidi kupotexa mtaji usipokuwa makini.

Japo inaweza kukupa utajiri overnight
Synthetic indices equals to gambling.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,292
2,000
Mkuu

Ilianza BetsOnMarket ndio badae wakarebrand kuwa Binary.
Baada ya Binary now wamerebrand kuwa deriv, kwahiyo sio kwamba Binary imeuzwa mkuu, kurebrand hawajaanza Leo.
Na haiko subs kama unavyoiweka hapa, Binary inakuwa merged into Deriv, ndio mana database ni ilele.
Honestly wamefanya mabadiliko makubwa sana.
Liquidity provider wa deriv ni nani?

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,143
2,000
Wakuu nataka kujua kitu...., kwenye forex kuna online (mt4) na manual (Banks n' B de change) na hata zile currency pairs in reality zipo USD ipo EUR ipo. Pia kuna driving forces ( fundamental factors) nyuma yake. Sasa nataka kujua je hizi indeces ni nini unapotoka nje ya mt5 na nini kinafanya zimove?
mswati52 snipa
Kama unamaanisha synthetic indices nayozungumzia hapa basi ni artificial kwa maana yakuwa sio natural or real in time, inamove kwa expectation ya 30days, na pia inajifanya kama forex lakini haiobey demand and supply.
Kuna formula zakucalculate implied volatility kabisa ndiomaana computer inacalculate na kutoa data.
Forex iko natural na data za forex I mean bid and asks zinaobey natural factors kwasababu ni natural haiko generated.
Kikubwa ni kutotumia forex techniques kwenye indices lazma upotee
 
Bossprota

Senior Member
Jul 16, 2015
169
225
Hii kitu naitamani saaaana maana nasikia hata mtaj siomkubwa saaaana
Guys it had been a while i didn't posted any thread yet in JamiiForums,

back to that i was here here enjoying the moments and the progress JF is doing and honestly i was enjoying it to see alot of newbies and pros keep in touch with JF, it what we call addiction but not yet to that it is motivation, so more life to all of you guys who was intouch in anyotherway with jamiiforums not to mention Tech n Gadgets. Going straight to what i will be talking here these are points to Note and don't say you ain't warned.

 • I do not in anyway advice anyone to invest in options trading
 • Binary option siyo biashara anayoweza kuifanya mtu yeyote kulingana na risky ambazo zipo, ndio mana inahitaji watu waliotayari kuloose what they invest, ndiyo maana without risks management capital yako utaiweka ktk risk.
If you noted that then let us proceed

SYNTHETIC INDICES

Synthetic Indices hususan volatility, boom and crash na step index hazina tutorials or maelezo mengi na volatility imekuwa ikichanganywa sana but ni fursa kwa wanaopenda technical analysis

View attachment 1663409

View attachment 1663405

Katika sehemu hii leo ningependa tuangalie faida tunazoweza zipata kupitia Synthetic Indices
kwanza kabsa nipende kusema kuwa FOREX, inaathiriwa na sababu za kibinadamu na kijiografia, kama tunavyofahamu kupanda na kushuka kwa Currency, lakini katika synthetic indices hicho kitu hakipo, na tunavyofanya technical analysis ktk FOREX tunakuwa tunaogopa sana fundamental factors wabantu wanaita news, sasa basi kama wewe ni technical analyzer basi Synthetic Indices might work properly for you kwasabu ktk synthetic we got no news.

Katika thread hii tutakuwa Tutakimbua Synthetic Indices moja baada ya nyingine huku tukiona ni brockers gani wanatoa aina za synthetic Indices hizo ambazo tutakuwa tukizielezea hapa.

Firstly kama tutakuwa pamoja hadi mwisho basi

Fuata hatua hizi.
 • Fungua Account Yako ya Deriv/Binary Hapa Deriv.com au Binary.com
 • Utaweka email yako na kisha baada ya hapo utatumiwa link ili uverify account yako, na baada ya kuverify utatengeneza Account yako ambayo ni Real kwa kujaza taarifa zako, Kumbuka unaweza kutrade kabla ya kufanya verification ya id na residential
 • so baada ya kutengeneza real account kwa kuingia kwenye Create new account then chagua Synthetic na kisha chagua account kama ni demo au real na taarifa utakazopewa ndiyo utazijaza hatua inayofuata kwenye MT, but tumia demo kwanza kujifunzia.
View attachment 1663408

Katika MT5 utatafuta blocker kwa kuandika Deriv Limited kisha utajaza details ulizopewa kwenye hatua iliyopita ikiwemo ID ambayo ni account number na password na usisahau kuchagua server kama ni Demo au real account, kisha utaweza ona products anazotoa deriv

View attachment 1663406

 • DBot ni robot ambayo inatolewa na Deriv/Binary kwaajili ya kufanya kazi kulingana na strategy yako mwemyewe unaipata hapa DBot
Implied VOLATILITY

Synthetic indices ni implied Volatility, kwa maana ya kuwa zinatokana pale ambapo Volatility ya stocks inalinganishwa katika Option Derivatives na derivatives katika financial ni instruments mfano USD currency ni 2319 Tsh, kwahiyo USD ni derivative instrument ambayo thamani yake inaitegemea Tsh ipande/ishuke, na ndipo katika option trading tunakuja kucall/put katika strike price fulani ambayo ndiyo entry price yetu pale tunapofanya option trading.

Sasa basi Volatility pekeyake huwezi trade kama instrument kwasabu ni measure ya risky ya stocks market kadhaa.

View attachment 1663410

Volatility huwa katika expectation ya the next 30 days of SP, kwa maana ya kuwa Volatility lengwa ambayo ninaizungumzia hapa inakuwa calculated katika Standard & Poor ya zaidi ya Stock market 500 ambayo ni makampuni ya hisa, lakini calculations zote zinafanywa na computer, kulinga na na formulas ambazo zinakuwa zimewekwa, BUT tuelewe ya kuwa Volatility inapokuwa kubwa basi uwezekano wakupata faida kubwa ni mkubwa zaidi na pia uwezekano wa kupata hasara/loss kubwa pia ni the same kwa maana ya kuwa ni mkubwa zaidi ndio mana wengi huwa wanatrade as they expect a breakout katika forex.

Sasa Why Synthetic VOLATILITY ni bora
 • Synthetic Indices volatility inakuwa calculated kwa mategemeo ya movement ya hisa ktk 30days so think as This kind of Volatility haipo affected na vitu kama vile NEWS, ambazo ziko more fundamentally na huathiri sana bid and ask prices za FX market ndio maana kuna kuwa na big move ya pips katika FX as ukicompare na Indexed synthetic Volatility.
 • Unaweza kutrade vix the same kama unavyo apply orders ktk FX, kuset stop loss and take profit, kumodify na kuclose positions ambazo ktk fx tunaita orders
 • Inachukua muda mfupi kupata profit/loss ktk minimum lot size.
 • Unaweza kuwithdraw na kudeposit within a short time.
 • Unatrade within seven days au siku zote za wiki even monday n saturday
Deriv broker anatoa aina za volatility ambazo ni Volatility 10, 25, 50, 75 na 100

View attachment 1663404

Katika volatility hizi VIX 75 Imeonekana kuwa na lot size ndogo kabisa ya 0.001 ktk 75 inaweza kuingizia faida ktk muda mfupi vile vile hasara ktk muda mfupi, ndio maana jambo muhimu la kuzingatia ni entry point nzuri ili kuweza kupata profit.

Fluctuation au kushuka kwa S&P 500 ambayo ni standarnd and poor ya zaidi ya makampuni miatano, huwa inatokea pale volatility inapokuja kufika peak, na mara nyingi hapo ndio traders huwa wanaanza kusell, na uzuri wa vix if it is moving down it is going down and vice versa as kama unavyoona hapo kwenye chart so we keep selling at the right entry.

Broker ni wachache ambao hutoa VIX but kwa hapa tutamtumia DERIV ambaye ndiyo BINARY amefanya mabadiliko make as wanafanya kurebrand into Deriv na tutamtumia kwakuwa kudeposit na kuwithdraw ni very very simple waweza tumia hata njia ya simu na pia anatoa demo account for practice ktk MT5 ili upractice or kuangalia fuctionality ya strategies zako.

Pia anatoa DBot ambayo ni mfumo unaokuwezesha hata kama wewe sio coder kuingiza strategy zako ktk Dtrader ukiset ifanye unachotaka pale ambapo unaona signal zitatokea, kwa maana ya kufungua na kuclose positions

NEXT SESSION Tutaangalia tabia za Volatility katika kufanya technical analysis
Kwa maoni na maswali karibu hapa chini. na pia unaweza
subscribe Telegram Telegram: Contact @undisputedFX
@undisputedpips

[/QUOTE]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom