Online jobs (Work at home)

nemnunu

Member
Jun 4, 2019
75
63
Habari wanajamvi,

Naomba mwenye kufahamu juu ya hizi online jobs, unafanya kazi na kulipwa online. Je kuna ukweli wowote juu ya hili?

Kwa maelezo yao wanadai unafanya kwa niaba ya kampuni kwenye social media's is it true?
 
Online jobs! kazi zipi sasa, unajua hata nikiuza simu humu jf pia hiyo ni online job?
 
Inaonekana uelewa wako ni mdogo sana, nna wasiwasi sana watakaokupa kazi!
Unafanya kazi kwa niaba ya kampuni online, you advertise, post or answering questions in social media's on behalf of them, this means they train you how to do it. But you don't meet each other all are done online including payments. Nadhan wew mwenye uelewa mkubwa umenipata sasa
 
Online jobs! kazi zipi sasa, unajua hata nikiuza simu humu jf pia hiyo ni online job?
Nmesema kabisa unafanya kazi kwa niaba ya kampuni, Ila makubaliano na malipo yanafanyika online. Wew una deal na social media's
 
Nmesema kabisa unafanya kazi kwa niaba ya kampuni, Ila makubaliano na malipo yanafanyika online. Wew una deal na social media's
Kumbe ni virtual assistant, hiyo ipo sasa inategemea na hiyo kampuni na hiyo kazi ulipoipatia.
 
Najitrain kutumia software za designing kama AutoCAD halafu ntazama huko upwork nikishakuwa nondo.
kama kuna vitu #uvifahamu Ni bora kukaa kimyaaa sio kumcrash mtu au kukatishana tamaa Online job zipo kuna site kama Upworks kuna freelance kibao zina lipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom