Online Course Tally ERP 9

Stephen M

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
367
371
Kwa mwenye uhitaji wa kujifunza accounting package kwa kuanzia tataanza na Tally kisha Quickbooks.
Muhimu uwe na vitu vifuatavyo
1. Computer - Desktop/Laptop/Pad/Smartphone
2. Speaker - Kifaa chako ni muhimu kiwe na speaker ili kuweza sikiliza mafunzo vizuri.
3. Internet Access - Mafunzo ya online yanahitaji uwe na Internet yenye uwezo mzuri
4. Microphone - Sio lazima Sana lakini inasaidia pale utakapouliza maswali kwa mwendeshaji mafunzo.

Kwa anaehitaji tafadhali wasiliana nasi sasa.
IMG_20201002_205609_019.jpg
 
Kwa mwenye uhitaji wa kujifunza accounting package kwa kuanzia tataanza na Tally kisha Quickbooks.
Muhimu uwe na vitu vifuatavyo
1. Computer - Desktop/Laptop/Pad/Smartphone
2. Speaker - Kifaa chako ni muhimu kiwe na speaker ili kuweza sikiliza mafunzo vizuri.
3. Internet Access - Mafunzo ya online yanahitaji uwe na Internet yenye uwezo mzuri
4. Microphone - Sio lazima Sana lakini inasaidia pale utakapouliza maswali kwa mwendeshaji mafunzo.

Kwa anaehitaji tafadhali wasiliana nasi sasa.View attachment 1588879
Vipi progressive until now
 
Back
Top Bottom