Online company registarion in tz


C

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Messages
542
Likes
463
Points
80
C

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2015
542 463 80
habari,nimepata habari somewhere kwamba sasa hivi unaweza kuregister kampuni BRELA online
kwa ambaye ashatumia huduma hii naomba reviews
vipi huduma ipoje kwa ujumla
inachukua muda gani mpaka kampuni inakuwa registerred
thanks in advance
 
C

commentor

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Messages
490
Likes
202
Points
60
C

commentor

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2014
490 202 60
Kimsingi online unachofanya ni ku-register Business name, ambapo kitakachofuatia ni kuwasilisha nyaraka halisi kwenye ofisi za BRELA zilizo karibu nawe. Hata hivyo, kwa experience yangu ya kama miezi minne iliyopita -Bado hawajai-coordinate vizuri, wanategemea sana manual registration. Nahisi desk officers wanaopitisha nyaraka hawajafunzwa kuoanisha taarifa za mteja za mtandaoni na za kwenye document alizopokea hivyo bado wanajichanganya. Pana maelekezo mazuri kwenye website yao ambayo iwapo yangetekelezeka kama yalivyo ufanisi wa usajili wa biashara nchi hii ungeongezeka sana....
 
C

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Messages
542
Likes
463
Points
80
C

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2015
542 463 80
kumbe bado ni kama zamani
ninavyoona mimi hakuna ulazima wa mtu kubeba nyaraka na kuzipeleka ofisini kwa BRELA... inawezekana kila kitu kikafanyika online from business name registration document submission document approval and all that kind of staff
sjiui tatizo lik wapi
kama tatizo ni kutengeneza online company registration system wataalamu wapo wengi tu
 
M

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
1,082
Likes
1,359
Points
280
M

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
1,082 1,359 280
Tatizo ni maslahi binafsi kama kila kitu kikifanyika online kuna watu mirija yao itakatika,hivi inashindikanaje kukamilisha process zote online?Kuna mambo very complex ukilinganisha na usajiri wa makampuni lakini mambo yake yote yanakamilika online.Hivi inashindikanaje kuwatumia wenyeviti wa serikali za mtaa kurahisisha utoaji huduma mbalimbali zinazosukuma kasi ya maendeleo kwa wananchi?
 

Forum statistics

Threads 1,274,140
Members 490,601
Posts 30,502,347