ONIOMANI – MANUNUZI YALIYO KUBUHU-COMPULSIVE BUYING DISORDER

uvugizi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,235
873
Kila mtu ananunua vitu , na ndipo hapa tunapata mahitaji yetu kama nguo , chakula nk. Zaidi ya hapo ni rahisi kununua vitu hovyo hovyo muda wote , hasa kipindi hichi cha online shopping (manunuzi kiganjani).

Kwa baadhi ya watu na kwa matatizo waliyo nayo, manunuzi yanageuka kuwa shuruti . nilitoa makala jana katika forum JF, reddit na myexperinceproject,, naona wengi walitaka kujua nini hasa compulsive buying disorder, ingawa wazungu wengi wanapenda kujua haya kuliko habari ya kulogwa na mapepo , ingawa ni mtembeo mmoja in different view .

ONIOMANIA...CBD (Compulsive buying disorder) ni ile hali ya kutojizuia kununua na kutumia muda mwingi ,pesa nyingi katika manunuzi. kununua vitu vingi pasina udhibiti ,, kumbuka huu ni ugonjwa au ni tatizo na ni tofauti na overbuying ,, kwani mwingine ananunua vitu kwa sababu ana uhitaji , mwenye CBD ni tofauti.

Mtu mwenye CBD anasikia kutoka ndani ya moyo wake kununua ( strong desire) , awe na uhitaji hana uhitaji yeye anataka kununua tu , bila kufanya tathmini yeyote yaani anakuwa na Negative emotion.

Katika ndoa mmoja wenu akiwa na CBD lazima ndoa ife , kwani anakuwa analeta kitu kinaitwa ,,,FINANCIAL HARM,, katika ndoa,,,, inahitaji mchungaji mwenye uelewa kutibu ndoa hiyo , unaweza kuwaza ni pepo kumbe ni tabia yako na pepo akakusindikiza tu. Financial harm kifalsafa ndani ya ndoa ni sawa na mtu kuishi na maiti , lazima utakimbia tu ndani ya ndoa .

Mtu mwenye CBD ( kununua kuliko kubuhu), kwa mujibu wa taasisi ya magonjwa ya akili ya amerika ( America psychiatric assosciation) pia anaweza kuwa na HD ( hoarding disorder).

HOARDING DISORDER (tatizo la kuhodhi mali ) ni tatizo ambalo linaambatana sana na CBD ni pale mtu ana nunua vitu na anagundua havihitaji vitu hivyo lakini pia hawezi kuviachia vikatoka mikononi mwake anapata shida kuvitupa au kugawia watu ( difficult parting with possesions). Unakuta mtu ana makorokoro mengi ndani ya nyumba na yote ana amini kuna siku yatamfaa.

Madhara makubwa ya HD kwa mujibu wa tafiti ni uchafu na kwa nchi za ulaya wanaamini ni moto , kwani hayo mavitu yanaweza yakashika moto na kuleta madhara kwa haraka sana ,,, kwa marekani unakuwa umetenda kosa nafikiri unakuwa umefanya health code violation ,,, na ndiyo maana uchafu mwingi sana unakuja Africa ……. Kwa sisi ukiwa na makoro koro unaonekana una vitu vingi ,,, kwangu nakuona una ugonjwa mkubwa sana wa akili.

Ni watu wa aina gani basi wanaweza kuwa ni wahanga wa manunuzi yaliyo kubuhu . mtu yeyote mwenye negative emotion ( hisia hasi) ,,, yaani mtu mwenye hasira , stress, maumivu,trauma, depression (mifadhaiko),kutojiamini( low self esteem), muoga nk.

Kwa ujumla wahanga wa compulsive buying disorder ni wale wenye ugonjwa pia unaojulikana kama BORDERLINE PERSONALITY DISORDER (BPD)( haiba yenye mashaka) … yaani ni ugonjwa wa akili , mtu anakuwa katika mood swings , kuna wakati ana furaha , muda mwingine ana hasira , anacheka saa hiyo hiyo ana zira jambo , kususa nk . Anaweza akakufokea kwa jambo ambalo hukufanya .

Kwa mimi ni mtu wa kiroho siwezi kutokuhusia maandiko ya kitabu cha biblia . tunaishi katika dunia yenye dhambi mwanzo 3:17-24, hivyo tuna madhaifu katika mwili na roho , kwa sababu tunaamini katika vitu zaidi kuliko Mungu , na ndiyo maana imeandikwa,,, Mithali 3:5 “ mtumaini Bwana Mungu kwa moyo wako wote , wala usizitegemee akili zako mwenyewe . kuna mtu aliingia gharama yetu ya CBD ,, soma 2 wakorintho 5:21

Be inspired

kihiga@zoho.com
 
Tatizo hili analo mwenzi wangu yani anawaza kununua nguo mda wote daah ni shida kweli.
 
A very good site of the problem...the world has now an incredible in stress,depression,anger and anxiety so on and so forth...so people find CBD will sooth their soul...GOD help us.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom