Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
Salamu ndugu zangu.
Leo nimeona nianze kutupia Projects zinazoendelea ndani ya jiji la dar es salaam. Nitakuwa natupia tupia picha. Ninaanza na
Kinyerezi Power Plant phase II 240MW. Mradi unatakiwa novemba 2017 kuanza kuzalisha umeme
Kinyerezi1.JPG
Kinyerezi2.JPG
Kinyerezi3.JPG
 
Project nyingi ni majengo marefu...ujenzi wa barabara na madaraja bado ni hafifu mji umezidiwa na idadi ya watu miundo mbinu ni ya enzi za Mwl...hivi tunashindwa buni njia mbadala kwa kuongeza upana wa barabara zilizopo maana hata kama zitajengwa mpya bado zinajengwa kwa mtindo wa kizamani lane 2 ama 4.Hatufikirii zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom