Ndugu Congo umezungumza kitu cha maana sana leo ubarikiwe. Hii njia ni janga kubwa sana kwa ustawi wa jamii yote ya wanyo itumia. Hata kwa maendeleo,dharura,wagonjwa ni janga kubwa kwakweli.Naiomba serikali kuongeza upana wa barabara kutoka Kimara mpaka Mbezi Louis kwa dharura. Hii itasaidia kupinguza msongamano wa magari.