katto14
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 226
- 62
ongezeko last vijana ku bet tatizo nini hasa Ajira au kutafuta hela, au hobbies za watu Maana kuna watu wakiamka tu wenyewe ni kwenda ku bet jamani tunaelekea wapi wa Tz wenzangu cha ku staajabisha mtu ana bet afu anasa lakini bado tu naendelea mwingine hata hela ya msosi mtihani lakini ya ku bet anayo