Ongezeko la mshahara ni Tsh 2,500/= rekodi nyingine imevunjwa

Sio kwamba alimaanisha kwamba 2022 okay....
Ila watu wanapanda madaraja, kuanzia June na July hii watu wamepata mishahara mipya, tuwe wavumilivu tu awamu kwa awamu....

Tuendelee kula mtori nyama zipo chini
Duuh

Wengine ni mwendo wa arrears tu
 
Hii nyongeza imenishangaza sana kwa kweli, me nilijua ni kwangu tu labda wamekosea calculation 🤣🤣, kumbe ni wote hali si hali
 
Huyu Bimkubwa wenu hamna kitu, ni maneno mengii.

She is going to be a big disappointment kwenu wote mliojenga matumaini kwake.
 
Kwa waliopanga madaraja wameshuhudia viwango tofauti vya mshahara kwa watu walio ngazi moja,sijui serikali imecalculate vip,ngoja Tusubiri salary slip!!!
 
Mambo yameiva huko mshahara wa mwezi Julai umeingia. Ongezeko ni 2500 baada ya kupunguza kodi 1%.

Hii inatosha robo ya nyama tu.

Kazi iendelee.
Huu utani mbaya mwanangu. Hii siyo nyongeza ya mshahara bali nyongeza ya masihara.
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom