Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa Umma...

Nzenzu

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
858
164
Je kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma?

Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu.

Mwenye taarifa atujuze!
 
huu ni mwisho wa mwezi, waliokamata mshahara watakuwa vigezo sahihi kujuza wengine, tusubiri watafunguka mkuu
 
Je kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma?

Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu.

Mwenye taarifa atujuze!

Najuuuuta kuzaliwa na kuajiliwa tanzania. watu wameshaona watanzania ni majuha na wana njaa wanawapandisha presha wafanyakazi maskini!
 
Je kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma? Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu.

Mwenye taarifa atujuze!

Mkuu Nzenzu,
Habari zingine ukiziskia jaribu kuchanganya na zako. Bajeti ya serikali ilishapitishwa na Bunge na ongezeko la mishahara limeanza kutekelezwa tangu mwezi wa saba. Sasa wewe hujiulizi hao wanaosema kuna ongezeko lingine la mshahara, serikali inatoa wapi hiyo mandate ya kuongeza mishahara bila idhini ya Bunge?

Au ndiyo mnataka kututhibitishia mwendelezo wa ile hoja ya kila siku ya Ludovick Utouh ya "Incorrect charged expenditures / Unbudgeted expenditures" kwenye ripoti zake za ukaguzi kila mwaka?

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Je kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma?

Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu.

Mwenye taarifa atujuze!
Ukikuta hujaongezewa, njoo nikupunguzie wangu
 
Mishahara yenyewe serikali inakopa mabenki ya nje na ndani ,itapata wapi ela ya kuongeza?
 
Mkuu Nzenzu,
Habari zingine ukiziskia jaribu kuchanganya na zako. Bajeti ya serikali ilishapitishwa na Bunge na ongezeko la mishahara limeanza kutekelezwa tangu mwezi wa saba. Sasa wewe hujiulizi hao wanaosema kuna ongezeko lingine la mshahara, serikali inatoa wapi hiyo mandate ya kuongeza mishahara bila idhini ya Bunge?

Au ndiyo mnataka kututhibitishia mwendelezo wa ile hoja ya kila siku ya Ludovick Utouh ya "Incorrect charged expenditures / Unbudgeted expenditures" kwenye ripoti zake za ukaguzi kila mwaka?

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),
tumbiri@jamiiforums.com
Hivi wewe mkuu ni MHAYA ?
 
Serikali imekwishafilisika itatoa wapi hizo hela za kuongeza mishahara tena asilimia 30 katikati ya mwaka wa fedha!
 
Je kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma?

Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu.

Mwenye taarifa atujuze!

Just apply Mbayuwayu's principle. Bajeti ilishatangazwa na tangu mwezi wa 7 wameshatuongezea hizo elfu 10 kwenye mishahara wala usitegemee muujiza ndugu.
 
nachoskia mie ni uwepo wa annual salary increment kuanzia mwezi huu,kwa uhakika tuulize waliokwisha kulamba mwezi huu
 
Teh teh teh teh....Njaa mbaya dah! how come uongezewe sarary mwezi wa 11 any way labda CC ya NEC imepitisha kabajet kadogo ili kuipromote CCM.....
 
Vigogo ndo walioongezewa mshahara. Soma kwa kifupi habari ifuatayo:

Serikali yafanya kufuru

*Yapandisha mishahara ya vigogo ghafla
*Waziri Kombani adai imefuata taratibu
*Wengine waongezewa Sh milioni moja.

SERIKALI imefanya marekebisho ya mishahara kwa watumishi wake kwa mwaka wa fedha 2012/2013. Sambamba na hilo,mishahara ya viongozi wa Serikali kwa mwaka huo wa fedha, nayo imefanyiwa marekebisho.
Marekebisho hayo ni kwa mujibu wa waraka wenye kumbukumbu namba S/AC 205/ 399/ 01/ 44, kutoka Ofisi ya Rais Ikulu (Menejimenti ya Utumishi waUmma), uliotolewa Julai 25, mwaka huu....
 
Hivi wewe mkuu ni MHAYA ?

khaaaaaaaa

Mkuu Nzenzu,
Habari zingine ukiziskia jaribu kuchanganya na zako. Bajeti ya serikali ilishapitishwa na Bunge na ongezeko la mishahara limeanza kutekelezwa tangu mwezi wa saba. Sasa wewe hujiulizi hao wanaosema kuna ongezeko lingine la mshahara, serikali inatoa wapi hiyo mandate ya kuongeza mishahara bila idhini ya Bunge?

Au ndiyo mnataka kututhibitishia mwendelezo wa ile hoja ya kila siku ya Ludovick Utouh ya "Incorrect charged expenditures / Unbudgeted expenditures" kwenye ripoti zake za ukaguzi kila mwaka?

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),
tumbiri@jamiiforums.com
Hayao madigirii yote yako mkuu? kama kuna ambayo huna kazi nayo, tafadhali nirushie. Hasa hako ka CPA.
 
Back
Top Bottom