Je kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma?
Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu.
Mwenye taarifa atujuze!
Je kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma? Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu.
Mwenye taarifa atujuze!
Ukikuta hujaongezewa, njoo nikupunguzie wanguJe kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma?
Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu.
Mwenye taarifa atujuze!
Hivi wewe mkuu ni MHAYA ?Mkuu Nzenzu,
Habari zingine ukiziskia jaribu kuchanganya na zako. Bajeti ya serikali ilishapitishwa na Bunge na ongezeko la mishahara limeanza kutekelezwa tangu mwezi wa saba. Sasa wewe hujiulizi hao wanaosema kuna ongezeko lingine la mshahara, serikali inatoa wapi hiyo mandate ya kuongeza mishahara bila idhini ya Bunge?
Au ndiyo mnataka kututhibitishia mwendelezo wa ile hoja ya kila siku ya Ludovick Utouh ya "Incorrect charged expenditures / Unbudgeted expenditures" kwenye ripoti zake za ukaguzi kila mwaka?
TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),
tumbiri@jamiiforums.com
naona kuna kitu anatafuta hapa sio bureHivi wewe mkuu ni MHAYA ?
Mkuu Nzenzu,
TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),
tumbiri@jamiiforums.com
Je kuna ukweli wowote juu ya kuongezeka kwa mishahara kwa watumishi wa umma?
Habari zisizo rasmi zinasema ongezeko ni 30% na utekelezaji wake ni kuanzia mwezi huu.
Mwenye taarifa atujuze!
Hivi wewe mkuu ni MHAYA ?
Mkuu,sasa UHAYA unatoka wapi tena yahee?Hivi wewe mkuu ni MHAYA ?
Hivi wewe mkuu ni MHAYA ?
naona ile CV aliyotoa mdau!!!!Mkuu,sasa UHAYA unatoka wapi tena yahee?
Hivi wewe mkuu ni MHAYA ?
khaaaaaaaa
Hayao madigirii yote yako mkuu? kama kuna ambayo huna kazi nayo, tafadhali nirushie. Hasa hako ka CPA.Mkuu Nzenzu,
Habari zingine ukiziskia jaribu kuchanganya na zako. Bajeti ya serikali ilishapitishwa na Bunge na ongezeko la mishahara limeanza kutekelezwa tangu mwezi wa saba. Sasa wewe hujiulizi hao wanaosema kuna ongezeko lingine la mshahara, serikali inatoa wapi hiyo mandate ya kuongeza mishahara bila idhini ya Bunge?
Au ndiyo mnataka kututhibitishia mwendelezo wa ile hoja ya kila siku ya Ludovick Utouh ya "Incorrect charged expenditures / Unbudgeted expenditures" kwenye ripoti zake za ukaguzi kila mwaka?
TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),
tumbiri@jamiiforums.com
ukikuta hujaongezewa, njoo nikupunguzie wangu