Ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

hili ongezeko nikebehi na pia ni dharau kwa TUCTA maana wanawabembeleza halafu wanawaacha kwenye mataa hii serikali ni vilazi haina jipya nikuipinga chini tu
 
mawazo yako yanaweza kuwa kweli lakini tatizo siyo wafanyakazi ni serikali ilyoko madarakani
 
Hicho ndicho mnacho zalisha Mkuu, maana nyie watumishi wa Serikali ni sehemu ya ku-fail kwa Serikali mbona mnajisahau sana, nyie ndio source ya matatizo yote yaliopo hapa Tanzania;

  • Nyie ndio kila kona mnatuomba rushwa katika ofisi za Umma.
  • Nyie ndio Waganga mliopo Mahospitalini ambao unatuibia dawa wagonjwa.
  • Nyie ndio TAKUKURU ambao Rushwa imewashinda kushugulikia
  • Nyie ndio waalimu na wakurugenzi mnaotumiwa kusaidia wizi za Kura nyakati za uchaguzi.
  • Nyie ndio Polisi mnao uwa raia kila kukicha!
  • Nyie wezi wa TRA
  • etc etc etc...........................
Myt:Nadhani mlipaswa kupunguziwa mishahara si kuongezewa kabisa.

Tunahitaji maboresho ya maisha kwa wakulima na wafanyabiasha ndogondogo ndio sehemu ya kupunguza Umaskini wa Mtanzania.

Pole sana kwa mtazamo hasi uliokuwa nao juu ya watumishi wa serikali ambao nao wanalia njaa,hebu jaribu kufikiri ina maana hao watumishi uliowaita wezi,waomba rushwa n.k hawana mema wanayofanya??usipende kuzungumza kwa ujumla,wezi wapo na wala rushwa wapo lakini sio wote,na sidhani kama wangekuwa wote wezi kungekuwa na malalamiko.
 
Mara nyingine serikali inawaweka watumishi majaribuni.Haiwekani mtu alipwe Tsh.140,000 halafu utegemee atakwepa vishawishi vya rushwa ktk mazingira ya kazi huku familia ikishinda na njaa!
mawazo yako yanaweza kuwa kweli lakini tatizo siyo wafanyakazi ni serikali ilyoko madarakani
 
Hicho ndicho mnacho zalisha Mkuu, maana nyie watumishi wa Serikali ni sehemu ya ku-fail kwa Serikali mbona mnajisahau sana, nyie ndio source ya matatizo yote yaliopo hapa Tanzania;

  • Nyie ndio kila kona mnatuomba rushwa katika ofisi za Umma.
  • Nyie ndio Waganga mliopo Mahospitalini ambao unatuibia dawa wagonjwa.
  • Nyie ndio TAKUKURU ambao Rushwa imewashinda kushugulikia
  • Nyie ndio waalimu na wakurugenzi mnaotumiwa kusaidia wizi za Kura nyakati za uchaguzi.
  • Nyie ndio Polisi mnao uwa raia kila kukicha!
  • Nyie wezi wa TRA
  • etc etc etc...........................
Myt:Nadhani mlipaswa kupunguziwa mishahara si kuongezewa kabisa.

Tunahitaji maboresho ya maisha kwa wakulima na wafanyabiasha ndogondogo ndio sehemu ya kupunguza Umaskini wa Mtanzania.
mawazo yako yanaweza kuwa kweli lakini tatizo siyo wafanyakazi ni serikali ilyoko madarakani
 
Asilimia hizo huwa ni general annual increment na siyo nyongeza, kwa hiyo mwaka huu mshahara haujaongezwa.

Sahihi kabisa mkuu, mfanyakazi kila 1st July ndio anapata annual increment ya mshahara wake. kama kweli ni percentage hizo basi ndo haki ya mfanyakazi wa umma kila mwaka. so hakuna nyongeza. Tusikilizie TUCTA@mgaya watasemaje juu ya hili
 
Nadhani kama ungesikiliza au kusoma hotuba vizuri hawakusema wanaongeza mshahara in terms of adding purchase power... bali walikuwa wana-maintain mshahara kwa ku-match inflation rate...

Hivyo pole kama ulidhani unaongezewa mshahara!
 
Nimepata habari za uhakika kutoka kwa Mkuu wangu wa kitengo cha rasilimali watu(Head of Human Resource-HHR) kuwa ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa serikali ni asilimia kumi na moja(11%) kwa kima cha chini na asilimia nane nukta sita(8.6%) kwa wengine wote.

Kwa hiyo kama mtu alikuwa akipata mshahara wa Tsh 135,000 ataongezewa kwa 11% atapata Tsh 149,850 ikiwa ni ongezeko la Tsh 14,850 na yule aliyekuwa mathalani akipata mshahara wa Tsh 520,000 ataongezewa kwa 8.6% atapata Tsh 564,720 ikiwa ni ongezeko la Tsh 44,720.

My Take:
Habari ndiyo hiyo,naona serikali inafanya dhihaka,watu tumesubiri ongezeko la mishahara tukategemea tutapata angalau asilimia 30 lakini wameleta siasa.Kwa ongezeko hili maisha yetu yatazidi kuwa magumu ukizingatia kuwa bei ya mafuta ya dizeli na petroli haishuki ,mafuta ya taa yameongezwa bei na umeme ndio huo wa mgao uuwwiiiiiiii!!!!
I have seen the document. Exactly, ndivyo ilivyo
 
Sahihi kabisa mkuu, mfanyakazi kila 1st July ndio anapata annual increment ya mshahara wake. kama kweli ni percentage hizo basi ndo haki ya mfanyakazi wa umma kila mwaka. so hakuna nyongeza. Tusikilizie TUCTA@mgaya watasemaje juu ya hili
Nyongeza ipo. Annual increment haiko sawa ni hizo figure. Kwa kuongezewa kama kuna nyongeza ya mshahara increment huwa ina stop
 
Sirikali inawajali watumishi wa sirikali kama mawaziri,wabunge,wakurugenzi,wakuu wa mikoa/wilaya,wakuu wa idara basi.Kwaiyo wale wa serikali hawana chao.
 
Wafanyakazi wa umma Tanzania tumezidi kuwa wapole!Tulikosea sana kusitisha azma ya kufanya mgomo mwaka jana,haya ndo matokeo yake sasa,tunageuzwa na kufanywa kama samaki kwenye kikaango!
 
Haaaa haaaa! Inflation 10%, halafu ongezeko la mshahara 11%! Magamba kwa uchakachuaji hawajambo!
Mkuu inflation iko 11% kwa hiyo hapo ni bilabila. Rais kila siku yupo kwenye ndege anakata anga. Natamani ndege yake ipate ajali siku moja. Bora kurudia uchaguzi kuliko kuwa na Rais kama huyu.
 
Huo ni mkopo Mkuu, zamani ndio Nyerere alifanikiwa kutupa bure sijui kama tutadai pia!
weee arafat acha mbwembwe bwana, mkopo gani huu ambao ili udaiwe ni hadi aujiriwe serikalini? Na ninawafahamu jamaa zangu kibao walioajiriwa serikali hadi leo hawajawahi kukatwa huo mkopo. Nyie chekeleeni kupata hizo, lakini mkija mtaani lazima mlie. Ni vema muanze jitihada za kugoma kwa ajili ya kudai nyongeza za mishahara makazini
 
hayo ni mawazo mgando mkuu, wape wafanyakazi wako mshahara wa kumtosheleza then tafuta wala rushwa kwa dhati. Huwezi kumkamata mtu unaemuita mfanyakazi wa serikali kwa rushwa wakati unajua fika hawezi kusurvive kwa mshahara wake meaning ili aishi lazima ale rushwa, you will remain beating around the bush. Tuache nadharia za kishabiki bali tusimamie haki ambayo ndo msingi wa binadamu
unasema mshahara wa kumtosha upi? Uwe unaongea na data sio unasema tu, isitoshe hata hawa unaowaita wafanyakazi wa serikali hawajitumi..
 
mpendwa, na cha kuskitisha zaidi, huyu wa kima cha chini hana hata kaposho hata kamoja, wala kasafari japo mara moja kwa mwaka! hivi serikali ina watu wenye roho kweli? kwa kweli kama hali yenyewe ndio hii, kwa kweli tusilaumu watu wanaopiga box kwenye nchi za watu huku wakiwa na elimu na ujuzi wa kutosha, hapa kwetu bila kuishi kuishi kimjinimjini, hakika utajuta kuzaliwa mpendwa!

mwanzoni mwa mwezi huu nilisafiri nje na nilikutana na vijana watatu kutoka eritrea wawili wanasoma masters na mmoja PhD, wanasema kule kwao mhadhiri wa chuo kikuu anapata kama dola 160 kwa mwezi wakati kuna wahadhiri kutoka india wengi kule wao wanalipwa dola 2,000 tena kwa kazi ileile!! wote watatu waliapa kuwa hawatarogwa kurudi kwao pindi wakimaliza shule! sasa afrika yetu itajengwa na akina nani?
Nafikiri Africa yetu ina shida siyo siri. Lakini mimi naona kwa Tanzania tatizo limekuwa sugu hivi sasa. Uongozi uliopo madarakani sasa hivi huwezi kabisa kuutofautisha na ule wa Mwinyi. Yaani inflations juu, kipato cha mfanyakazi hakikidhi mahitaji. Hii ndo inaweza ikatupelekea kuuana kama hakutakuwa na umakini somewhere. Hapo ninachoona hapa ni kwamba chanzo cha matatizo yote haya ni rais na si lingine.
 
Kweli kabisa mkuu!Nadhani muda wa kukaa kimya na kunung'unikia pembeni unapaswa kukoma sasa.Rai yangu kwa wafanyakazi wote nchini tuamke sasa na tudai maslahi bora kwa vitendo...TUANZISHE MGOMO NCHI NZIMA USIO NA KIKOMO MPAKA WATAKAPOTUELEWA,vinginevyo tutaendelea kuumia!
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; muwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, sitakupungukia kamwe, wala sitakuacha. (Soma Waebrania 13:5)
 
Kama hiyo habari ni kweli ina maana, kwa vile mfumuko wa bei uko kwenye asilimia kumi na mbili, wale wa kima cha chini mshahara utashuka kwa asilimia moja hivi na wengine wooote utashuka kwa asilimia nne! Ingekuwa tunajitambua tungeandamana hadi watambuwe kushusha mishahara ni jambo baya!!
 
Asilimia hizo huwa ni general annual increment na siyo nyongeza, kwa hiyo mwaka huu mshahara haujaongezwa.
kwa namna hii migomo na maandamano yatakoma kweli? Ccm hao wanatumia wingi wao ku2buruza.
 
Hicho ndicho mnacho zalisha Mkuu, maana nyie watumishi wa Serikali ni sehemu ya ku-fail kwa Serikali mbona mnajisahau sana, nyie ndio source ya matatizo yote yaliopo hapa Tanzania;

  • Nyie ndio kila kona mnatuomba rushwa katika ofisi za Umma.
Mbona wewe hujajiweka kwenyekundi la wafanyakazi waliofoji vyeti maana hapo ulipo unakula mshahara usiostahili kwakuwa cheti nulichoombea kazi siyo chako umetengenezewa mtaani na kwakuwa uko taasisi binafsi si wafuatiliaji umesave kubaki na ajira sasa we huoni kuwa ndiyo mwizi nambari wani na unatakiwa ukamatwe nyambaffffff

Tunahitaji maboresho ya maisha kwa wakulima na wafanyabiasha ndogondogo ndio sehemu ya kupunguza Umaskini wa Mtanzania.
  • Nyie ndio Waganga mliopo Mahospitalini ambao unatuibia dawa wagonjwa.
  • Nyie ndio TAKUKURU ambao Rushwa imewashinda kushugulikia
  • Nyie ndio waalimu na wakurugenzi mnaotumiwa kusaidia wizi za Kura nyakati za uchaguzi.
  • Nyie ndio Polisi mnao uwa raia kila kukicha!
  • Nyie wezi wa TRA
  • etc etc etc...........................
Myt:Nadhani mlipaswa kupunguziwa mishahara si kuongezewa kabisa.

Tunahitaji maboresho ya maisha kwa wakulima na wafanyabiasha ndogondogo ndio sehemu ya kupunguza Umaskini wa Mtanzania.
[/QUOTE]Mbona wewe hujajiweka kwenyekundi la wafanyakazi waliofoji vyeti maana hapo ulipo unakula mshahara usiostahili kwakuwa cheti nulichoombea kazi siyo chako umetengenezewa mtaani na kwakuwa uko taasisi binafsi si wafuatiliaji umesave kubaki na ajira sasa we huoni kuwa ndiyo mwizi nambari wani na unatakiwa ukamatwe nyambaffffff

Tunahitaji maboresho ya maisha kwa wakulima na wafanyabiasha ndogondogo ndio sehemu ya kupunguza Umaskini wa Mtanzania.
[/QUOTE]
 
Weka CV yako ya Uchumi hapa tuichambue; By the way huo uchumi wako mbona hatuuoni kila kukicha uchumi wa Taifa unadorora, Nyie mliorundika vyeti bila kuelimika ndio chanzo cha kushindwa kwa uchumi wa Taifa hili! Mmejaa maofini na vyeti lukuki lakini vichwani hamna kitu eti wachumi mbona hatuoni kitu mmebaki kupiga kelele kama kasuku na kukalili aya za vitabu huku taifa linaangamia, mi naona kama hakuna aliyesomea Uchumi Tanzania, maana Kikwete alisoma uchumi UDSM anafanya nini na hiyo Degree si kama wewe tu!
Mimi sijasomea uchumi nilikuwa nakuweka sawa,huwezi kusema wafanyakazi wote wapunguziwe mshahara wakati machinga,mamantilie wanategemea na sisi tukawaungishe.Kingine kinachokusumbua ni generalization!huwezi ukafika kwa hivyo!eti unasema wafanyakazi wote si wazuri!kuna wafanyakazi wenye maadili kweli kweli na kuna wengine ni vihiyo kweli kweli!Nimeshaeleza watu wa namna gani nisiowapenda katika utendaji wao!mfano hao kina Kikwete,Samwel Sitta,Ngeleja,Bi Kiroboto,Edward Hosea,na wanafiki wengine woote unaojua wanaoangamiza taifa letu!
 
Back
Top Bottom