CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
Saruji tena mangi?Imebaki 7% ya saruji , December hii wachaggaa Tuongee ajend ya barafu mliman kwetu
Saruji tena mangi?Imebaki 7% ya saruji , December hii wachaggaa Tuongee ajend ya barafu mliman kwetu
Imebaki 7% ya saruji , December hii wachaggaa Tuongee ajend ya barafu mliman kwetu
.......there is an equal but opposite reaction.Mabadiliko ya tabia nchi, tuendelee kuharibu mazingira... mazingira yatatulipa sawasawa na tunavyoyaharibu. To every action.......!
Wezi wapi?Ni bora kabisa tuone hao wezi wataringia nini.
Nitalia mimi, The Monk.Paula Paul wahi ukapande kabla barafu haijayeyuka yote. Nakuonea huruma usipoenda na kuikosa hii fursa, ntakunyanyasa sana.
Nipo tayari nikusindikize ili kukuepusha na manyanyaso yatakayokukumba.
Ni kupanda miti mangi kwa wotee wanaozunguka mlimaImebaki 7% ya saruji , December hii wachaggaa Tuongee ajend ya barafu mliman kwetu
Wachina wamemaliza miti huko Congo
Umoja wa Africa umekaa kimya
Tatizo sio letu tu bali linaanzia mbali na waafrika kwa njaa zetu hata tukiambiwa vichwa vya watoto ni dili najua wataleta tu itakuwa Magogo?
Wachina hawa ni kuwachoma tu View attachment 2013326
Na wanaowafadhili pia
Nitalia mimi, The Monk.
Sawa,nitapanga vizuri niende. Ila sijui kama nitafika hata nusu yake.
Mkuu unadhan suruhisho ni nn?
Ni kipindi gani ni kizuri kwenda huko? Hilo wazo la kunibeba nimelipenda.Kuliko ntakavyokunyanyasa bora nikubebe mgongoni hadi tufike juu. Itabidi ujitahidi tu.
Inasikitisha sana kuona theluji inapukutika na kwisha yote.
Kupanda miti ni njia mojawpo lakini njia nyingine na muhimu sana ni kupunguza hewa ya ukaa inayozalishwa na viwanda hasa kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani, Ulaya, China, Japan n.k. Tatizo la hewa ya ukaa ndio linachangia kwa asilimia kubwa kutokea kwa mabadiliko ya tabia nchi hapa duniani. Bila haya mataifa tajiri yenye viwanda vikubwa na vingi kuafuta njia ya kupunguza hewa ya ukaa inayozalishwa na viwanda vyao hata kama tutapanda miti huku afrika hiyo miti na yenyewe itafikia mahali itanyauka kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.Suluhu ni kupanda miti hata ifike 1b na liwe lengo haswa
Serikali iwekeze kwa uhakika na sio Dili kwa baadhi ya wakubwa bali iwe muendelezo
Wote wanaojihusisha na Kilimo kinachohusu ukataji wa miti walazimishwe kupanda miti mingi na mbegu au mashina wapewe bure ila walipe wapandaji
Wafugaji wote wapewe miti na waitunze kwa lazima
Vijijini na kila kaya wapande miti
Hata pembezoni mwa barabara zetu
Vyanzo vya maji vilindwe sana
Wenye viwanda wakimwaga chemicals zao kwenye mifereji wapigwe faini yenye nusu ya thamani ya kiwanda chake na wanapopewa licence masharti yote yawemo
Watu wanaona ni jambo la kawaida ila ni janga kubwa sana
Wajukuu watatulaani sana tusipotetea ardhi leo
Mawaziri wawe serious sio majungu tu waje na mikakati
Kama wanazunguka na mabakuli hela zipo nje nje kuhusu tabia nchi
Je Mama kapata ngapi huko Scotland?