Ongeza maarifa kwa kujisomea

TAECOLTD

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
1,051
1,835
0c9f969f9d47c89911e1aa8f2bc7e8da.jpg
c293a24c6ba9d635f476c8aa3713a6a2.jpg


Habari za mida hii wapendwa wanajamvi?!
Kwa wale wanaotaka kuongeza uelewa wao kwenye suala zima la ujasiriamali na biashara mbalimbali na mbinu zake basi kitabu hiki cha "Zitambue Dira na Mizani za Biashara" kitakusaidia sana kukufanya uwaze kwa kina na kuiendeleza Biashara yako vizuri na hata wewe ambaye hujaanza kitu kitabu hiki ni msaada mkubwa kwako. Kwa shilingi 2,000 tu unajipatia nakala yako kwa whatsapp, E-mail, telegram yaani soft copy yako hata ukiwa kijijini una uhakika wa kukipata na kukisoma na kukifurahia vizuri kabisa...
NB: kitabu hiki kina haki miliki kisheria chini ya COSOTA hivyo huruhusiwi kunakili, kuuza wala kumtumia mwingine asome kwani kufanya hivyo ni kukiuka sheria hivyo lolote laweza kukupata..

Picha hapo juu kujionea yaliyosheheni ndani ya kitabu hiki kilichoandikwa na mjasiriamali mwenzenu Mtenga Gerald...kwa buku mbili tu (2,000) hutajuta, kwenda namba 0713 332 606 tigo pesa faster kitabu utakiona na utakifurahia...
Karibuni sana
 
Ningependa kupata kitabu kama kitabu, kuliko kutuma hela halafu ukaunganishwa kwenye group la whatsapp,...... hii inatokana na muda wangu nilivyoutenga ili niweze kukisoma, Nifafanulie mkuu nakipata wapi!?
 
Ni kitabu kama kitabu na sio kuunganishwa kwenye group lolote...
Soft copy - 2,000
Hard copy - 10,000
Ukitaka nakutumia kwa njia yoyote utakatoitaka iwe E-mail, Telegram au whatsapp nakutumia kitabu hicho kwa gharama za hapo juu ila kama ni hard copy itabidi tuzungumze ni namna gani kitabu kitakufikia mkononi
 
Ni kitabu kama kitabu na sio kuunganishwa kwenye group lolote...
Soft copy - 2,000
Hard copy - 10,000
Ukitaka nakutumia kwa njia yoyote utakatoitaka iwe E-mail, Telegram au whatsapp nakutumia kitabu hicho kwa gharama za hapo juu ila kama ni hard copy itabidi tuzungumze ni namna gani kitabu kitakufikia mkononi

Nimekupata mkulu!
 
Back
Top Bottom