Hahahahaaaaaaa!!!!! Mkuu nilidhani utani,kumbe kweli kwa wateja waliochaguliwa
Waliochaguliwa ni kina nani??
Hapa ndipo waswahili walipotulogea!!!
Labda hukunielewa Mkuu.
Mkianza kukatwa katwa hela zenu mtakuja kulalama huku.
Nimekuelewa mkuu wangu.
Na mimi naomba kuuliza, hao wateja waliochaguliwa ndiyo wateja gani?
Ashiki majinuni ndio nini mkuu?Nikajua hii njia inafanya kazi nimwambie na shemeji/wifi yenu naye ajiunge nipate points tatu za bure kumbe njia yenyewe zengwe. Nimeona nikae kimya asije kuhisi na mimi nina ashiki majinuni.
Sijui ni lini na mimi nitaanza kuwa na hela kama za Rugemalira niachane na hizi habari za kwenda mavyuoni kujiunga na vifurushi vya vyuo.