Oneni madhara ya kutumia kichwa kuongoza badala ya sheria na miongozo

yuko sahihi watumishi wengi wakitoka mapema wanaenda kwenye ulevi na uzinzi wengine wanakuwa idle bora watoke hata saa 2 usiku waende nyumbani
Nadhani na wewe ni kichaa zaid ya huyo mkurugenzi mtumishi wa umma sio mwanafunzi wa hostel na hakuna mwenye mamlaka naye baada ya masaa ya utumishi wa umma kama hata vunja sheria za nchi, na nyie ndio makada vichaa mlio pewa madaraka wakati uwezo wenu hauwezi hata kuongoza kuku.
 
Umenifurahisha sana kwa kuwapa ukweli hawa wasiojitambua ZERO BRAINS.

Kuna mada zingingine muwe mnawaacha wenye akili wachangie nyie vichaa msubiri zinazo endana na hali yenu, maswala ya lisu hapa yana tafuta nini? Nchi haita endelea kama hata katika mambo ya kitaalamu vichaa mnaingiza siasa
 
Naamini hata watakaokubali haya ambayo ni kinyume cha sheria wachunguzwe ubongo wao. Labda kwa malipo ya ziada.
 
Hawa viongoz wa awamu hii wengi wao sijui wameokotwa jalala gani hawana sifa ya hata kuwa viongozi wa vijiwe vya gongo wana akili ndogo kiasi kwamba hata mtoto wa miaka 6 anayaona madhaifu yao
Tena huwa najiuliza kwanini watawala wa awamu hii hutumia nguvu nyingi sana kwa jambo ambalo ni la kawaida sana.
 
yuko sahihi watumishi wengi wakitoka mapema wanaenda kwenye ulevi na uzinzi wengine wanakuwa idle bora watoke hata saa 2 usiku waende nyumbani
Sheria ipi ya kazi unayoisimamia kwenye hili inalounga mkono? Au ndo walewale?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Comrade
Lazima tukubaliane kutokubaliana mtazamo kuhusu masuala ya Taifa.

Hata Nyerere watu walimpinga mawazo yake na kuna aliyoyachukua ya wapingaji.

Nchi yetu sote Wakulima na Wafanyakazi
.... Kiongozi yeyote hata angekuwa nani a kienda kinyume na akatenda isivyo halali Lazima apingwe kwa kuambiwa inavyopasa.
Kwani yeye amekuwa Mungu?

Tuacheni kuwatisha Watanzania wenzetu....mbona sisi tupo katika Mfumo toka awamu zilizopita na hatuwatendei yasiyopaswa Wananchi wenzetu, nyie ni akina nani ?

Miaka inakimbia sana bora kuishi kwa kumuogopa Atupae Uzima kuliko Mwanadamu anayekufa Leo au kesho

Chief Economist
I support you my brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mleta mada na mashaka na utambuzi wako au wa hao ambao unadhani wananyanyaswa.
sasa kama mkataba na sheria ziko wazi kwa nini wanaofanyiwa hivyo wasiwachukulie hatua wanaowapa hizo amri.

hadi sasa sijasikia mkurgenzi kashtakiwa kwa kosa lolote. labda wamekubaliana
 
Kuna mada zingingine muwe mnawaacha wenye akili wachangie nyie vichaa msubiri zinazo endana na hali yenu, maswala ya lisu hapa yana tafuta nini? Nchi haita endelea kama hata katika mambo ya kitaalamu vichaa mnaingiza siasa
Mkuu,wachukulie kuwa ni watoto waliobemendwa,waliotolewa kama uchafu na wenye mtindio wa ubongo,ndivyo walivyo hao.

Sent from my Kremlin using JamiiForum mobile app
 
Mkuu,wachukulie kuwa ni watoto waliobemendwa,waliotolewa kama uchafu na wenye mtindio wa ubongo,ndivyo walivyo hao.

Sent from my Kremlin using JamiiForum mobile app
Leo mkuu wa wilaya a songwe ametola mpya hadi vijana karibu wote wakakimbia mjini kukwepa amri ya mkuu huyo ya vijana waanze mafunzo ya mgambo
 
Back
Top Bottom