JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,937
Nipo hapa na watoto wa shule za kata, darasa la 4, mmoja anasimulia mkasa wa nyoka mrefu, anasema ana urefu wa siku moja, mwenzao mmoja akawa haelewi ndo urefu gani huo, akaambiwa kama sasa hivi ni saa 7 basi urefu wake ni hadi saa 8, akawa bado haelewi, wenzake wakamshambulia mgumu kuelewa wakati yupo darasa la 4, ikabidi akubali kaelewa, nikawa very interested kujua na mimi labda ni maarifa mapya, kuuliza nikaambiwa hivyo hivyo, nikauliza kwani kipimo cha urefu ni nini wanasema ni muda au masaa.
Ama kweli hii ndo BIG RESULTS NOW YA SHULE ZA KATA.
Ama kweli hii ndo BIG RESULTS NOW YA SHULE ZA KATA.