Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
- Thread starter
- #21
Kwa uelewa wangu mdogo mkuu allergy ni njia ya mwili kujikinga na mashambulizi, na ni indicator katika hatari. Lakini ni vizuri kuheshimu uamuzi wa kila mtu.Kabla ya kutibu H.I.V wangeweza kwanza kutibu alegi na hiyo ndio ingekua hatua mojawapo kuukaribia utabibu wa H.I.V, Binafsi siwaamini kabisa maana najua wanachotaka majinga sana.