One Plus 8 vs Oppo reno 5pro+ 5G chaguo lipi ni sahihi?

Jorowe

Member
Jun 9, 2018
83
193
Nahitaji nichukue mojawapo kati ya hizi simu kwenu wakongwe wa gadgets ipi itakuwa njema kwa vigezo hivi...

1-Battery backup
2-Camera
3-premium look
4-display

Mapendekezo pia kama kutakuwa na chaguo bora zaidi ya hayo kwa bajeti isiyozidi 1.2M
 
Oneplus 8 bila kufikiria mara 2, hio Reno 5 5g pro ipo overpriced kwa Simu yenye dimensity 1000.

Hapa nimekuwekea simu 3 oneplus 8, Reno 5 5g pro na Realme x7 pro ultra,

Utaona hapo Reno 5G pro na Realme X7 pro ultra ni kama simu moja tu, lakini utofauti wa bei ni mkubwa almost mara 2.

Oneplus 8 yenyewe ni flagship ya mwaka jana, ina processor ya ukweli hivyo perfomance itakuwa kubwa sana.

Display ni kama zinafanana, na battery inakaa na chaji sana. Pia muonekano wake ni premium.

Kuhusu camera hardware wise reno 5 5g pro ni nzuri ila kwa features oneplus 8 ni nzuri zaidi Sababu ya Soc nzuri. Mfano unaona kwenye hizo specs op 8 ina uwezo wa ku record video ya 4k kwa 60fps wakati Reno 5 5g hakiwezi, pia inaweza kurecord slow-motion za 1080p kwa 240fps compare na 120fps ya Reno 5 5g pro.
 
Asante kwa uchambuzi makini chief! Mie pia ntaenda na Oneplus hapo
 
op 8 ni kama sh ngapi niandae
 
My mistake mkuu nimeiona,

Simu nzuri mkuu kama unaipata kwa hio budget ya OP8, hata camera iliotumika ni nzuri na zile limitation za mwanzo hazipo, sensor yake ni kubwa pia 1.56"
Shukurani
Kwenye bei ndio zinatofauti ya kama 150,000 hivi!.
 
Back
Top Bottom