One of the hardcore gamer ever known | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

One of the hardcore gamer ever known

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Good Guy, Jul 30, 2012.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  This guy is truly a legendary gamer! One should pay regard to the efforts he put in making such a tremendous gaming fever show. The guy so far known as the 16bitghost, from his Youtube channel, posted a video showing his room in which he had 24 different gaming consoles since the beginning of time! He has a specially-made rack to put all of his consoles in where they can be easily attached to his wall mounted Sony LCD. Along with all these consoles, he has racks of all-time famous games from every platform. I personally have never seen any person having such a huge amount of money to spend on gaming. I wonder what he does for a living. He might as well be the role model for all hardcore gamers out there. Take a look at the video and pictures below.
  [​IMG]
  .
  [​IMG]
  .
  .[​IMG]
  .
  [​IMG]
  [​IMG]
  .
  • :eek2:

  • :eek2:


  [​IMG]
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  duh..noma!!
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Anapata wapi mkwanja???
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,810
  Likes Received: 7,134
  Trophy Points: 280
  ila mi mtu akiwa na magame mengi siamini kama ni hardcore gamer mi naamini mchezaji wa rpg/strategy hasa story za asia mashariki za maeneo ya japan korea na china ndio hardcore gamer, mission moja massaa hadi 8 na game lina mission unlimited
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,810
  Likes Received: 7,134
  Trophy Points: 280
  ila mi mtu akiwa na magame mengi siamini kama ni hardcore gamer mi naamini mchezaji wa rpg/strategy hasa story za asia mashariki za maeneo ya japan korea na china ndio hardcore gamer, mission moja massaa hadi 8 na game lina mission unlimited. Isje kua kajaza magame alaf acheza pes na super mario tu
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Umeonae!! Kujaza consoles haimaanishi jamaa ni hardcore gamer, watuambie kacheza games zipi na kwa muda gani sio kutujazia mi console tu.
   
 7. A

  Abdson Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku kwingine ni sifa.
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,810
  Likes Received: 7,134
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  dah.., naona mkuu umeamua kupinga kwa vitendo
   
 10. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  tetris is my all time favorite, yani kila device yangu lazima nitupie tetris, kwenye hii hata mimi ni hardcore coz naweza anza asubuhi mpk jioni hehehe
   
 11. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  uyu 16bitghost ni collector rather than hardcore gamer
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Au ni professional gamer?... Mimi maamini Jamaa ni mchezaj mzuri tu wa games ndy maana kuna vitu maal vya gaming. Wabongo tunajifanya hardcore gamer wakati console zenyewe ps2, na dell zenye video memory chini ya 1gb!
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,810
  Likes Received: 7,134
  Trophy Points: 280
  Tanzania kuna wachezaji watoke wapi? zipo competition nyingi za online games huwez kuta mtanzania hata mmoja hata top 100.

  Hata hawa wazungu si wengi wazuri wa kucheza hivi vitu ila asia ya mashariki ndo wengi sanaa na wana mashindano yanayolipa zaidi

  South korea kucheza game ni proffesional kama mchezaji mpira na wanalipwa. Kuna watu wanaishi kwa kucheza game tu. kuna kampun maarufu kule inaitwa esport ndo wanadili na mambo hayo kuna chanel moja ya korea inaitwa arirang hua wanaonesha sana
   
 14. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Arirang ananipa raha sana, nilikua nachek kipind flan walikua wanapiga FIFA ONLINE 2 kweli jamaa wako juu sana, baadhi ya washiriki walikua wanadhaminiwa na HYUNDAI na TOYOTA so this means a big industry
   
 15. leh

  leh JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  MtotoSix, we ndo umepatia, jamaa ni collector not gamer
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. leh

  leh JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  najidai harcore gamer na ps2 yangu, nina game moja iitwayo final fantasy x ambayo nimelog more than 1800hours!! translate hiyo into days inakuwa 75days non stop. bado nina nyingine ambayo ni ffxii nimepiga masaa almost sawa because natafuta kupata 100% completion kwa hizi games na kama chief-mkwawa alivyosema,

  ukicheza hiyo ffx ya ps2 (international version iliyocopy ya china) utakuta bila masaa 200 hujasogeza ile game. na hata kama unaweza maliza in 100hours, game completion yako ni labda 20%. kwa hiyo its not the console that makes a gamer, its the heart and time that one puts in that makes one a gamer.same same na huu ghost. anaweza kuwa na console zote duniani lakini kama hapigi serious time into the games, bugger tu kama wengi :biggrin:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Well NOTED Mkuu!! hakuna cha uhardcore hapo wala nini huyojamaa anapoyeza mkwanja wake tu, I think alikua anatafuta sifa za kua na console nyingi, Mtoa mada atueleze huyo jamaa kacheza games gani na kwa muda gani na level gani ndo itaeleweka kama jamaa ni hardcore kweli au mbwembwe tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  nah, ebana jamaa nmemuelewa perfectly. Nlikua na ps2 a while back after a month o two of serious gaming nlijikuta half d cds i had zimeisha tena ma fav ones,GoW2, Silent hill,ResidentEvil,TheMatrix,Simpsons,ChaosTheory(splnterCell),theGodFather etc mpira ndo kidogo nlibaki nacheza but dominating everythng(xcpt 1 guy i knw he was ma mentor ni hatari, the guy was xo despirate 4 a worthy challenge alikua anatembelea vibanda vya ps na kuweka dau 4 any1 who can beat him)!na nkwambie 2 cdhan kama utakua serious gamer afu ukacheza ps2 for years hujaichoka(not just cus of d poor graphics but serious challenge kweli haipo).me nliiuza after just about 3 if not 2 months maana haikua fun anymr. Nataka Xbox now. So kama hata mm nngekua nakusanya console zangu(brick gme,zile za cartridge nliwai miliki kama 4 types zikawa zinaharibika,ps1,ps2) naamini ngekua na collection of some sort. With enough money 2 waste na ambayo cna ningenunua 2 complete the set. So jamaa ni hard 2 the core gamer he،s nt just a collector, just try chckn him on youtube utakubali.
   
 19. leh

  leh JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45

  duh, mkuu una miaka mingapi coz unavyosema ps2 ina poor graphics, nakushangaa sana. watoto wa modern era ndo wamezaliwa siku za HD graphics (hdmi, hdtv, bluray, high res), mimi, chief-mkwawa, NingaR, MtotoSix na wengine watakwambia, ps2 was the best thing to ever happen. ukiona ina graphics mbaya, utasemaje kuhusu snes, n64, gba, psp, gamecube, ps1 na zingine nyingi tu. mi bado hucheza game boy advance na ina 240 × 160 pixels. gaming sio graphics mkuu, graphics ni kwa watu wa movie

  tena unasema ps2 haina any serious challenges? umecheza rpg games ngapi? unless wewe ulikuwa a gaming prodigy, nitashindwa sana kukuelewa. niambie umecheza games kama Metal Gear Solid au Splinter Cell au hata Final Fantasy na ulimaliza kwa muda gani ndo nijue kweli zilikuwa kwako hazina challlenge. all this leads me to believe kuwa you are not a serious gamer leave alone a hardcore one
  unavyosema ulimaliza gowII ikawa haina challenge tena, unataka kuniambia ulimaiza modes zote mpaka god mode, ukafanya challenge zote za gods na ulicollect every single orb?? nitakuheshimu sana ukisema ndio, because it took me six months to do that. nilishinda every single level nilifungua every chest na kupiga challenge of the gods. after hapo nilirudia tena gow2 nikajaribu kushinda god mode using zile default weapons (nimezisahau jina, 'twas but a long time ago) in less than 4 hours. 17 or so resets baadaye, nilijiwekea record ya 3.45 hours kufika na kumpiga zeus
  mkuu, usinielewe vibaya, ila we sio any kind of serious or hardcore gamer. ya kwamba ulishindwa kucheza ps2 coz haina graphics za kutosha and wasn't challenging enough for you speaks volumes about your gaming capacities

  regards,, [​IMG]
   
 20. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  ni kama anafanya research flani hivi! tena yuko ktk step ya data collection......lol....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...