One of predicted match verified twabakiza Morocco kumtoa Argentina

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
I said kwamba baada ya timu kubwa Belgium na German Kauga atafuata Spain then Argentina

Morocco katufanyia kazi Kwa Spain twasubiri uholanzi amtoe Argentina , akikosa kosa hapo Morocco anamtoa

Ureno anaweza toka leo watu wanauliza Kwanini sijamtaja ureno kama Timu kubwa kutoka?

Kwa taarifa yenu Ureno hata kwenye timu kubwa hayupo Ndo maana namuona Kama Kina Ghana na TanzAnia tu

Britanicca
 
Kuhusu Ureno uko sahihi. Tofauti yake na Japan ni ndogo sana.
 
Morocco katufanyia kazi Kwa Spain twasubiri uholanzi amtoe Argentina , akikosa kosa hapo Morocco anamtoa

Morocco na Argentina hawawezi kutana kwenye hatua ya mtoano iwe robo au nusu fainali, sana sana labda kwenye fainali au mshindi wa tatu...

Routes zao kuelekea fainali zipo tofauti...

Screenshot_20221207_063111_FotMob.jpg
 
Back
Top Bottom