One die, million cry. Million die, no one cry.

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,012
attachment.php


One die, million cry. Million die, no one cry.
 

Attachments

  • one die milliom cry.jpg
    one die milliom cry.jpg
    47.6 KB · Views: 283
Kweli kabisa kwani wajinga walilia wakati RA mmoja anajivua gamba lakini hawalii wanamagamba kibao wanapohamia CDM!
 
They cry (me included) because his technological innovation saves/saved life of hundred millions of people.... If you will be lucky to visit hospital in USA/UK and see how his technology makes people survive you will be amazed and sometime end up crying too....asking GOD why did he take him so soon.
 
attachment.php


One die, million cry. Million die, no one cry.
Hawa wengine huwa tunaandamana kwa ajili yao na kushow love by donating what we have.
Huyu mmoja we can not donate but we can cry for him though hatuwezi kumrudisha and his legacy shall stand forever
 
Kweli kabisa kwani wajinga walilia wakati RA mmoja anajivua gamba lakini hawalii wanamagamba kibao wanapohamia CDM!


aaah katufe ka thank yuu kametoweka

tena nngekutwangia asee
wakina mama wale wangetakiwa walimwe talaka na mabwana zao
shenz typ
 
attachment.php


One die, million cry. Million die, no one cry.


Mhhhhhh sasa hao million tuwakumbuke kwa lipi? Huyu bwana kajitengenezea vitu vilivyomtangaza.Pili analiliwa na watu wake ambao wamemmiss. Nyie nani kawalazimisha kulia? Hao wasomali wanadundana uroho wa madaraka, watu wanashindwa kulima nk. hii ndo hali yetu AFRICA hivyo basi acha wazungu wamlilie MTAALAM wao wa apple technology maana mazingira yao wameyaweka hivyo na sisi tulilie wasomali wenzetu maana ndo tulivyo na uroho wetu. Swali vifo vya wasolamali amesababisha Steve Jobs? Kifo cha Steve JObs kimesababishwa na Wasomali? Kila mtu anakufa kivyake vyake alafu sie tunahamishia hasira kwa wengine. Ni sawa na wewe upate money unywee pombe kisha mwenzio mnaepanga nae nyumba moja apate fedha anunue nyama alafu we ummind kisa wewe unakula ugali kwa chumvi yeye anashushia na nyama useme sio fair!!!! Sio fair nini wewe za kwako umenywea. Wenzetu amani waliyonayo wanatumia kuwa wabunifu na kujitangaza kila sehemu, sisi tunajitangaza kwa kulipuana mabomu eti al - shaababu, sijui banyamulenge, sijui Lords Resistance ARMY ya joseph Konyi sisi huo ndo umaarufu wetu tuache wivu wa kijinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom