One Day! We won't take it anymore!

Siku hiyo ikifika, nitarukaruka na kufurahi kama vile sina akili timamu hiyo yote ikiwa kwa sababu ya furaha tu. Nitakwenda pale njia panda na kumshukuru kila atakayepita, including Kikwete mwenyewe pamoja na vibaraka wake.
 
Mkuu QM Message imefika kulikokusudiwa.....Pia huko kwa Mkuu kuna kipande cha nakala ya gazeti la Rai kinachozungumzia "safari za JK".....Muungwana ataviona Jumatatu....Kuwa makini unaweza kupata vitisho,kwani mambo sio mema sana,Jamaa wengi wamepata access ya kuingia JF.Wakuu wamewaambia wasipozijibu shutma ina maana wameshindwa kazi...Tujiandae kupambana kwa Hoja...kuna watu wanatumwa kijiweni...Naambiwa hapa kwamba mwanachama wa JF anayeitwa Lula (sijawahi kumuona) nae ni target!!

Tufunge Mikanda,hali ikifikia hivi ina maana messages zinawafikia....

Mkuu Mwawado,

Ubarikiwe nimelisikia hilo kuwa siku hizi Muungwana ameanza utamaduni mpya, kiongozi yoyote akirushiwa soo kwenye gazeti, bungeni, au popote pale akiskia tu anakutafuta yule kiongozi mlengwa kwa simu na kukupa hadi kesho kujibu shutuma kwenye public, nasikia ameanzia na Makamba, aliporushiwa mawe na mbunge Halima Mdee,

Mambo huko ndani sio mazuri sana, kuna mfarakano mzito sana, Mkapa sasa amekua ndiye Supreme Leader wao na Lowassa sasa amekua makamu, mkakati mzito ni kugombea urais 2010, wabunge wote wanaowakosesha usingizi tayari wameshatayarishwa "Wagombea Maalum" na hili kundi kwa ajili ya kupambana na kina Mwakyembe, Seleli, Sendeka, na Mama Kilango na hasa Bwana Six, Chenge is looking for revenge kwa kitendo cha Muungwana kuruhusu kusachiwa na wazungu

It is rough out there, lakini as a nation ni lazima tu hang in there, maana kibaya kitakuwa kutupa taulo kwa hawa mafisadi, nina wasi wasi kuwa kunaweza kwua na setback in the process, lakini wananchi tutashinda tu! Nafikiri Mkulu QM, amekuelewa huo usia na hasa mazingira aliyopo sasa hivi!

Mungu Aibariki Tanzania!
 
Naomba kutofautiana na wakuu mnaosema mjadala ufungwe au usimamishwe kwa mda fulani, mi naona hiyo itakuwa kama kurudisha nyumba purukushani za kulikomboa taifa letu kutoka katika jangwa la umasikini. Kama kwa kelele za wanajamii hapa tumeweza kumtoa nyaka pangoni basi kelele zinendelee hadi nyoka aangamizwe. Chamuhimu ni kuangalia tu mapambano yetu yasimame kwenye ukweli na maslah ya taifa sio (kusingizia, kudanganya) na kuwa na jazba kati yetu wana forum. Maana kam watu wanapewa chance ya kujibu hoja basi ndio mwanzo wa kuwa na records nzuri ya yaliyojili na yatakayojili huko mbeleni maana hata vizazi vijavyo watakuwa na reference ya shutuma na majibu yake ili wafanye maamuzi mema kwa ajili ya nchi yao Tanzania.
I stand to be corrected.
 
Mkuu QM Message imefika kulikokusudiwa.....Pia huko kwa Mkuu kuna kipande cha nakala ya gazeti la Rai kinachozungumzia "safari za JK".....Muungwana ataviona Jumatatu....Kuwa makini unaweza kupata vitisho,kwani mambo sio mema sana,Jamaa wengi wamepata access ya kuingia JF.Wakuu wamewaambia wasipozijibu shutma ina maana wameshindwa kazi...Tujiandae kupambana kwa Hoja...kuna watu wanatumwa kijiweni...Naambiwa hapa kwamba mwanachama wa JF anayeitwa Lula (sijawahi kumuona) nae ni target!!

Tufunge Mikanda,hali ikifikia hivi ina maana messages zinawafikia....

Mwawando,
Vitisho wanavyotoa au kujiandaa kuvitoa ni ishara kwamba tayari wameanza kushindwa hoja na sasa wamejawa na soni. Siku hiyo ikifika, wata throw everything mpaka kitchen sink katika harakati za kujaribu kutisha 35+ million Tanzanians ambao watakuwa wamesimama ngangari bila ya kupepesa macho.

Enough is enough!
 
Field MarshallEs,

Mkuu mimi nitaendelea kumpa challenge Kikwete kama kweli yeye ni rais (mwanaume) afanye yanayotakiwa kufanywa kwa UWAZI sio kujificha ficha na kutetea hawa jamaa ktk hotuba zake muhimu sana kwa wananchi..
Anajifucha nini? kwani hajui kwamba hawa watu wamepania kuchukua nchi?.. hajui kwamba wanamlisha Limbwata kwa mapenzi yake mwenyewe iweje leo awe kinga yao kwa kila baya linalotokea kisha kuwaita kwa pembeni kuwauliza kuhusiana na tetesi!
Kifupi mkuu atakaye tupa taulo chini labda ni yeye lakini sio wananchi kwa sababu tayari tumekwisha wafahamu wabaya wetu na kamwe hawataweza kuchukua tena madaraka na wananchi wakakubali kuburuzwa - ONE DAY!
 
Mkuu Bob,

Tupo ukurasa mmoja hapo, Muungwana ana matatizo mengi sana makubwa tena ya kujitakia, ameruhusu serikali ndani ya serikali sasa anaishia kuzeeeka kwa kasi kali sana maana huyu niliyemuona juzi sio yule niliyemuona miezi sita iliyopita, halafu lile tabasamu limeanza kuisha sasa mkulu ana hasira sana, wasaidizi anawakimbiza kama magari,

Lowassa hashikiki, maana according to the dataz leo yupo Las Vegas, kesho atakuwa New york, majuzi alitokea Florida, sasa hivi he is the most watched man katika bongo kuliko hata rais, je huko anatafuta nini? Wakulu wengi wana-scrumble kutaka kujua, Membe adui namba one on the list je patakalika?

duh! sasa hivi kuna the best drama ever ndani ya serikali na CCM, leo imebainika kuwa Odinga anawasaidia Chadema huko Tarime, Zanzibar vita vya kugombea urais vinazidi kupamba moto, Shamuhuna anasema ama zake ama za somebody lakini lazima we rais kumbe ndio sababu ya makelele ya Zenji kuwa nchi! Komba ameiba shillingi millioni 500 za CCM, Rais wetu badala ya kuongoza taifa amekua reduced to a mere member of Ze best Comedy to ever b e played in our nation's history

Mungu Aibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom