One Day! We won't take it anymore! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

One Day! We won't take it anymore!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quemu, Oct 2, 2008.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  One day! People of Republic of Tanzania will come together and raise their voices in unison to say to President Kikwete, to all members of the Kikwete’s Administration, to the members of parliament, and to much of the mainstream media: "You have failed us miserably and we won't take it any more."

  While we had every reason to expect far more of you, you have been incompetent as you have led this great nation to a stream of pompous, greedy, and corruption. You have breached trust with the Tanzanian people in the most egregious ways. You have utterly failed in the performance of your jobs. You have undermined our Constitution, permitted the violation of the most fundamental treaty obligations, and betrayed the rule of law.

  You have engaged in, or permitted, heinous leadership abuses of the sort never before countenanced in our nation's history as a matter of official policy. You have taken Tanzanian men and women for granted. You have continued to honor your predecessors’ legacy of denying Tanzanians rights to a fair living. You have continued to provide shield to your greedy arrogance friends. You have proven to be an incompetent leader, a leader without even a coherent plan for every monumental blunder in our country.

  You have acted in direct contravention of values that we, as Tanzanians who love our country, hold dear. You have deceived us in the most cynical, outrageous ways. You have undermined, or allowed the undermining of, our constitutional system of checks and balances among all the presumed equal branches of government. You have helped lead our nation to the brink of corruption, of a fraud contemptuous of our nation's treaty obligations, federal statutory law, our Constitution, and the rule of law.

  Because of you (and your predecessors), and because of your jingoistic false 'patriotism,' our country is far poorer, our nation is far more despised, and the threat of diseases are far greater than ever before. It has been absolutely astounding how you have committed the most horrendous habits of frequent-flying, spending millions and millions of much-needed monies unwisely; while the lives of million of Tanzanians are continuously lacking basic human needs. Yet you still wear smile on your face, asserting your ‘Hari Mpya-Nguvu Mpya-Kasi Mpya’ nonesense - when what you have done flies in the face of every Tanzanian (except your greedy pals). Your hypocrisy is mind-boggling - and disgraceful.

  What part of the "Golden rule" don’t you understand? What part of "be honest," "be responsible," and "be accountable" don't you understand? One day Kikwete, one day! We will look straight up in your shameless eyes and tell you: We won't take it any more! One Day!

  ***Altered to fit audience. The original speech was by Mayor Ross C. "Rocky" Anderson (former mayor of Salt Lake City, Utah)***
   
 2. Companero

  Companero Platinum Member

  #2
  Oct 2, 2008
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Watapaza/Tutapaza sauti yetu kwa pamoja kwa kutumia lugha gani - Kiingereza?
   
 3. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Tutatumia lugha itakayo eleweka na watu wote katika muda huo...iwe kiswahili, kiingereza, au nyingine yeyote ile itakayotuunganisha...
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Oct 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  maneno mazito sana haya QM! thanks
   
 5. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Mkuu MQ,

  Hivi vitu ni vizito sana na ni vyema tukawa-forwadia wakasirike, lakini ujumbe utakuwa umefika, inaelekea tunaanza kurudia pole pole ile JF yetu ya zamani!
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mbwa akikenua meno hatoi tabasamu ana nia ya kukupa kibano sawia.
  Lugha ya mbwa inafahamika kwa vibaka wote, lugha yetu pia itaeleweka wakti ukifika.
   
 7. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Yep! itaeleweka na sio tu kwa walio madarakani sasa hivi, bali pia na kwa wale wote watakaokuja kutuomba nafasi ya kutuongoza siku za mbeleni. Huu 'uchafu' lazima ufike kikomo. One day!
   
 8. Tonga

  Tonga Senior Member

  #8
  Oct 3, 2008
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama kuna njia wanaweza kuupata ujumbe huu ni vizuri wakaupata ni ujumbe mzuri na wenye uzito wa aina yake; hata biblia inasema ukweli unauma, hivyo ni vizuri waujue waumie, walipuke na hapo ndio tutakapoendeleza libeneke na kumkoma nyani mchana kweupe. Ni kweli tumechoka kunyonywa na kubakizwa mafuvu; mkoloni aliondoka ila sasa tumebakia na sumu zaidi ya ukoloni manake ni watz wenzetu ila wenye uchu wa ajabu! "kweli kikulacho ki nguoni mwako" Hivi kweli kuna siku watatosheka na kutuachia hii nchi? naona itabidi kizazi kipya kiamke na kufanya jambo la kihistoria tukianzia na kuondoa hiyo 'recycle system' serikalini na kwingineko.
  Mungu ibariki Tanzania, let's stay strong and focus we have a long way to go.
   
 9. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  A moving post but like most other constructive discussions on Tanzanian politics, I can't help but feel that we are banging our heads against the wall.
   
 10. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #10
  Oct 3, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Revolutionary ideas never die
   
 11. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Yes, it might not be any of those two languages above. Kama walivyo tumbili, MAFISADI wanaelewa body language & gestures kuliko.
  Hahahahah! Huo mfano ume-fit vilivyo kwenye mada; umeutoa wapi mshkaji?
  And we may even need not speak directly to them.  .
   
 12. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Tonga,
  Hili swali huwa najiuliza kila siku. Ni lini watasema kuwa "Ok I have had enough. Now it's time to deliver!" I mean, how much can you steal and accumulate wealth in such a country where majority live below poverty line? Just how much?

  How good can you feel when you are flooded with stolen wealth, while the people you stole from can't even afford a single healthy meal?

  Inasikitisha, inaumiza, na kutia hasira! Lakini ipo siku tu. Siku hiyo itakuja ambapo watalazimika kukutana uso kwa uso na watanzania. Siku hiyo hatutakuwa na woga wala aibu. Tutasimama mbele yao na kuwaangalia usoni (kwa macho makali) na kuwakalipia "Basi inatosha. Tuachieni nchi yetu." Siku hiyo itakuja!!!
   
 13. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Tatizo hawako tayari kuwasikiliza
   
 14. A

  Alpha JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  One Day????????

  When all our resources have been looted and all thats left is holes in the ground?

  When all our animals have been poached?

  When there is no more snow on Kili?

  When the next generation is just as incompetent and incapable as this generation because our schools failed them?

  When the whole country is in the dark because TANESCO has been looted?

  When our ports are abandoned for Mombasa or Mozambique because of incompetence and corruption?

  .....

  Please tell me when Tanzanians will finally wake up because it will soon be too late.
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kuna siku ya kuchoka ni kweli. Kama signature yangu isemavyo "Haki ya mtu ubakia siku zote. Ukijaribu kuizika iko siku itafufuka" Haya basi subirini siku yakifika shingoni, mafisadi mtajaza.
   
 16. Tonga

  Tonga Senior Member

  #16
  Oct 4, 2008
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  QM,
  Ufisadi/wizi ni dhambi kama dhambi nyingine inanoga; once you start you can't stop, ndio maana nikasema lazima ifike siku na hakika siku inakuja tuondoe hao mafisadi na hivyo vikongwe vyote kwenye system tukisubiri watosheke kamwe hawatatosheka. Kuna majina tunayasikia tangu tuzaliwe na bado yapo madarakani na hakuna la maana wanalo-deliver ila kujaza vizazi vyao kila kona. Nani aliwaambia Tz uongozi ni wa kifalme, kwamba lazima umrithishe mwanao? huu ni ushenzi na ni lazima ukome, tumechoka kunyonywa, kuibiwa, kudhalilishwa ni wakati muafaka wa kuamka na kufyeka hilo pori la mafisadi tukianzia na vinara.
  Naipenda Tanzania ila inakatisha tamaa sana.
   
 17. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Alpha

  We would rather start all over again building our nation (after they steal everything from us), other than let them continue taking us for a ride.

  So regardless of what might be left for us at that day, we will still force them out. We just won't stand them anymore!
   
 18. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Tonga,

  Heshima mbele, maneno yako mazito sana, niliwahi kumrushia Mkapa uso kwa uso akakasirika na kukatiza mkutano kwa hasira na kuondoka, yaani kama ulikuwepo siku ile maana ni haya haya uliyoyasema,

  According to the dataz ni kwamba Makamba yupo mbioni kumuingiza bungeni mtoto wake mmoja wa kike, anayemfanyia kazi Rostam, kwa kweli it got to stop!
   
 19. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mkuu QM Message imefika kulikokusudiwa.....Pia huko kwa Mkuu kuna kipande cha nakala ya gazeti la Rai kinachozungumzia "safari za JK".....Muungwana ataviona Jumatatu....Kuwa makini unaweza kupata vitisho,kwani mambo sio mema sana,Jamaa wengi wamepata access ya kuingia JF.Wakuu wamewaambia wasipozijibu shutma ina maana wameshindwa kazi...Tujiandae kupambana kwa Hoja...kuna watu wanatumwa kijiweni...Naambiwa hapa kwamba mwanachama wa JF anayeitwa Lula (sijawahi kumuona) nae ni target!!

  Tufunge Mikanda,hali ikifikia hivi ina maana messages zinawafikia....
   
 20. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Bravo QM,
  One day, Kikwete and his corrupt cronies will be escorted to jail.
   
Loading...