Ondoeni UVCCM wote ndani ya idara ya Usalama wa Taifa

Absolutely right.
downloadfile-6.gif
 
Idara ya Usalama wa Taifa ilianza kuajiri vijana kutoka UVCCM tangu enzi za Jakaya Kikwete. Huyo mlinzi aliyetishia kumuua Zitto Kabwe ndio mfano wa vijana wa CCM waliopo ndani ya Usalama.
Anayesema huyo kijana ni Green Guard anapotosha. Ukweli ni kwamba kuna vijana wengi wa CCM ndani ya idara ya usalama wa Taifa, kwa ajili ya kufanyia kazi CCM. Hii inafanya idara kuwa chombo cha CCM, kwa maslahi ya CCM.
Mtu mmoja anadai eti, CCM kuingilia idara ya usalama haina maana idara yote ni CCM, zipo kazi nyingi zinafanywa kwa maslahi ya nchi.

Mimemwambia...Ukichukua usafi ukachanganya na Uchafu unapata Uchafu. Kwa kifupi idara ya usalama wa Taifa imechafuliwa kwa kuingiliwa na CCM, inatakiwa kusafishwa na kuundwa upya. Sehemu ndogo ya watu makini wasiofanya kazi kwa upendeleo wa kisiasa haitoshi kusema idara ipo sawa. Hata kuwe na ma-ghost wenye uwezo wa James Bond au Sherlock Holmes, kama uwezo huo unatumiwa zaidi kwa manufaa ya dola la CCM badala ya Nchi ya Tanzania...ni uchafu tu.

Chombo cha dola cha kutumainiwa ni Jeshi na taasisi zake. Angalau huko siasa hata ikiingizwa inaingizwa kwa woga na uangalifu mkubwa. Huku kwengineko... tusubiri miaka ijayo wenye akili watakaposhika dola.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hiyo sio sehemu ya idara?
 
Anaitwa Tobias Richard mwesiga ni mhitimu wa degree ya project planning udom ninamfah fika na mtu ambae hajawahi kugombea uongozi akashinda anaenda sana tamaa na ukubwa na ni kijana mdogo tu lbda 33yrs huyu sababu ya kuingia tiss ni miraji kikwete maana ndio alikuwa mtu wake sana. Sikujua zitto kasumbuliwa na huyu mpuuzi aisee hapo idarani hana hata miaka mitatu alikuwa dawati la siasa. Aligombea pia Uenyekiti wa uvvcm taifa akaanguka pua. Kwa ufupi brother BAK huyu kijana ni mpuuzi wa kiwango cha lami na mtu mwepesi sana akina silinde na Zitto wampuuze tu
Duh!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TISS kumejaa wahuni tu si idara ya usalama wa Taifa tena bali ni usalama wa majizi, mafisadi na WAUAJI. Na yote haya chanzo ni huyo dikteta kubwa la majizi.
Hao unaoita wahuni ndo wanafanya unatembea kwa amani bila rabsha yoyote. Bila ya hivyo ungekuwa na hofu ya kutembea kuhofia Alshababu. Hujawahi kujiuliza mbona hakuna elements za extrmism au zikiibuka huwa zinathibitiwa haraka? Ulichonacho ni privilege sababu ya watu unaowadharau na kuwaita wahuni wewe unadhani ni akili na utashi wako. Una uhakika gani kama huyo kijana ni TISS? Msiwe wepesi wa kuhukumu.
 
Mnakurupuka na mada isiyo na miguu wala kichwa. Mnachangia utumbo mtupu
 
Vitu vingine ni vya kuachana navyo tu. Kama ni kweli UVCCM wapo huko wewe utajuaje kuwa wameondolewa? Mbona huzungumzii TIS waliopo Chadema? Na yeye Zito ana uhakika gani kama huyo kijana ni mfanyakazi wa TIS? Au kila anayevaa kaunda suite ni usalama? Au kila askari aliyepo Bungeni ni usalama?
Huyu nae kajaa usaha kwa ubongo. Kweli ccm kuna bongolala, umeuliza maswali gani sasa?
 
Acha ujinga wewe hakuna privilege zozote ambazo ninazofaidika nazo kutoka kwa hao wahuni zaidi ya kuona wanaivuruga nchi yetu kuharibu amani na mshikamano uliokuwepo kwa miaka mingi na sasa Watanzania wengi wamekuwa wakiishi kwa hofu kubwa.

Hao unaoita wahuni ndo wanafanya unatembea kwa amani bila rabsha yoyote. Bila ya hivyo ungekuwa na hofu ya kutembea kuhofia Alshababu. Hujawahi kujiuliza mbona hakuna elements za extrmism au zikiibuka huwa zinathibitiwa haraka? Ulichonacho ni privilege sababu ya watu unaowadharau na kuwaita wahuni wewe unadhani ni akili na utashi wako. Una uhakika gani kama huyo kijana ni TISS? Msiwe wepesi wa kuhukumu.
 
Hao ndio watu Magufuli anawataka kuna huyu Lengai Sabaya alikuwa na vitambulisho vya usalama huko kwenye ma bar akiimba Country songs zake basi ni kujishebedua yeye ni usalama
Kashitakiwa halafu kesi ikafutwa akapewa na ukuu wa wilaya kama zawadi

Sijui kama yupo usalama wa taifa au la ila kama yupo huko ni aina ya uchafu usio faa kwenye idara nyeti kama hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Navyo jua na kuamini kila chenye mwanzo huwa na nwisho,na siku moja mwisho wa CCM upo,walindwe na Hao mausalama au JW au FFU mwisho ukifika umefika,cha msingi wasimamie usalama na uthabiti wa nchi kwa wakati huu.cheo ni dhamana
 
Shida ni pale wapumbavu wanapokaa kikao chao cha kujadili mambo yao. Tegemea kupata upumbavu tu

Back
Top Bottom