Ondoeni UVCCM wote ndani ya idara ya Usalama wa Taifa

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Idara ya Usalama wa Taifa ilianza kuajiri vijana kutoka UVCCM tangu enzi za Jakaya Kikwete. Huyo mlinzi aliyetishia kumuua Zitto Kabwe ndio mfano wa vijana wa CCM waliopo ndani ya Usalama.
Anayesema huyo kijana ni Green Guard anapotosha. Ukweli ni kwamba kuna vijana wengi wa CCM ndani ya idara ya usalama wa Taifa, kwa ajili ya kufanyia kazi CCM. Hii inafanya idara kuwa chombo cha CCM, kwa maslahi ya CCM.
Mtu mmoja anadai eti, CCM kuingilia idara ya usalama haina maana idara yote ni CCM, zipo kazi nyingi zinafanywa kwa maslahi ya nchi.

Mimemwambia...Ukichukua usafi ukachanganya na Uchafu unapata Uchafu. Kwa kifupi idara ya usalama wa Taifa imechafuliwa kwa kuingiliwa na CCM, inatakiwa kusafishwa na kuundwa upya. Sehemu ndogo ya watu makini wasiofanya kazi kwa upendeleo wa kisiasa haitoshi kusema idara ipo sawa. Hata kuwe na ma-ghost wenye uwezo wa James Bond au Sherlock Holmes, kama uwezo huo unatumiwa zaidi kwa manufaa ya dola la CCM badala ya Nchi ya Tanzania...ni uchafu tu.

Chombo cha dola cha kutumainiwa ni Jeshi na taasisi zake. Angalau huko siasa hata ikiingizwa inaingizwa kwa woga na uangalifu mkubwa. Huku kwengineko... tusubiri miaka ijayo wenye akili watakaposhika dola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu kubwa sana kwa nchi kuchukua walinzi wa mageti ya uvccm na kuwa watu wa usalama wa Taifa , Mbumbumbu hawa ndio tunategemea walifanyie kazi Taifa kwenye masuala ya msingi kama mikataba kadhaa ! ndio maana kwenye mikataba ya madini ni kilio kila mgodi .

Hii nchi ilipofikia hata kuiombea dua ni kujitafutia laana tu
 
Anaitwa Tobias Richard mwesiga ni mhitimu wa degree ya project planning udom ninamfah fika na mtu ambae hajawahi kugombea uongozi akashinda anaenda sana tamaa na ukubwa na ni kijana mdogo tu lbda 33yrs huyu sababu ya kuingia tiss ni miraji kikwete maana ndio alikuwa mtu wake sana. Sikujua zitto kasumbuliwa na huyu mpuuzi aisee hapo idarani hana hata miaka mitatu alikuwa dawati la siasa. Aligombea pia Uenyekiti wa uvvcm taifa akaanguka pua. Kwa ufupi brother BAK huyu kijana ni mpuuzi wa kiwango cha lami na mtu mwepesi sana akina silinde na Zitto wampuuze tu
 
Ni aibu kubwa sana kwa nchi kuchukua walinzi wa mageti ya uvccm na kuwa watu wa usalama wa Taifa , Mbumbumbu hawa ndio tunategemea walifanyie kazi Taifa kwenye masuala ya msingi kama mikataba kadhaa ! ndio maana kwenye mikataba ya madini ni kilio kila mgodi .

Hii nchi ilipofikia hata kuiombea dua ni kujitafutia laana tu

Hii ndio hupelekea ccm kusema kuwa itatawala milele. Sasa hivi wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wote ni lazima wawe wanaccm. Hawa kazi yao ni kuhakikisha ccm inabaki madarakani. Hawa uvccm walioko usalama wa Taifa ndio walishauri Lissu apigwe risasi na wakapewa go ahead toka juu kabisa kwa jiwe.
 
Katika suala la utumishi Kuna aina mbalimbali za kutoa ajira mfano:-
Recruitment based on political affiliation(UVCCM wanaingia hapa)

Recruitment based on Nepotisim(DED wa Halmashauri ya mwanga anaegombana na Dc na kijana wa Jaji mstaafu Lubuva)

Recruitment based on Ethinicity(Hapa anaingia ndugu yangu DAB almaarufu kama Bashite)

Recruitment based on meritocracy(Hii haipo kabisa)
 
Bora ushamba wao wa ubobevu wakashindwa kukamilisha hyo assasnation. Hawa wanamzalilisha mweshimiwa
Hii ndio hupelekea ccm kusema kuwa itatawala milele. Sasa hivi wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wote ni lazima wawe wanaccm. Hawa kazi yao ni kuhakikisha ccm inabaki madarakani. Hawa uvccm walioko usalama wa Taifa ndio walishauri Lissu apigwe risasi na wakapewa go ahead toka juu kabisa kwa jiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu vingine ni vya kuachana navyo tu. Kama ni kweli UVCCM wapo huko wewe utajuaje kuwa wameondolewa? Mbona huzungumzii TIS waliopo Chadema? Na yeye Zito ana uhakika gani kama huyo kijana ni mfanyakazi wa TIS? Au kila anayevaa kaunda suite ni usalama? Au kila askari aliyepo Bungeni ni usalama?
 
Hii ndio hupelekea ccm kusema kuwa itatawala milele. Sasa hivi wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wote ni lazima wawe wanaccm. Hawa kazi yao ni kuhakikisha ccm inabaki madarakani. Hawa uvccm walioko usalama wa Taifa ndio walishauri Lissu apigwe risasi na wakapewa go ahead toka juu kabisa kwa jiwe.
sasa wamemuuza jiwe kwa gharama ambayo hatokuja kuisahau .
 
Back
Top Bottom