Ondoeni Threads Zote Za Jmushi!

Jun 19, 2008
9
0
Kwasababu mumemwonea dogo...Naona ni bora mufute na threads zake zote ili UNAFIKI WOTE uishe.
Ni maoni yangu tu kwasababu na ile thread yake ya msamaha mmeifuta kiugaidi?
 

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,231
myonge mnyongeni kama hujasema kaonewa wapi, msg yako inakosa uhalisia ....
hebu tukumbushe kwanza.
 

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,231
kwa hiyo kama huioni, badala ya kuuliza imeenda wapi umeanza jmushi anaonewa na msg zake zote ziondolewe!
pathetic
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom