Ondoa stress na Idd Amin

Huwa naingia You tube kuangalia clips zake...Jombaa alikuwa ni shida
enzi za utawala wake alimiliki Dollar million 76
inasemekana aliacha watoto wapatao 43 na hao alizaa na wanawake tofauti tofauti!
 
Huwa naingia You tube kuangalia clips zake...Jombaa alikuwa ni shida
enzi za utawala wake alimiliki Dollar million 76
inasemekana aliacha watoto wapatao 43 na hao alizaa na wanawake tofauti tofauti!
Alihost mkutano wa OAU enzi hizo. Kikundi cha ngoma kutoka jeshini kilitumbuiza wageni. Alimpenda mcheza shoo mmoja. Mpaka mwisho wa mkutano alishamuoa na Yaser Arafat a kawa best man.
 
Alihost mkutano wa OAU enzi hizo. Kikundi cha ngoma kutoka jeshini kilitumbuiza wageni. Alimoenda mcheza shoo mmoja. Mpaka mwisho wa mkutano alishamuoa na Yaser Arafat a kawa best man.
Duh, lijamaa lilikuwa libabe sana, nasikia alikua analazimisha..ukikataa utakiona cha moto.
 
Napenda mfatilie historia ya idd amin kwa upande wa kushoto usiridhike na historia tulizosoma shulen mana kuna mengi yalofichwa. n sawa na kifo cha Adolf Hitla tunavyodanganyana piya
Weka hapa tujue
 
Wawaulize waganda mbona hawana hii historia mbaya inayofanana na bongo.
 
Back
Top Bottom