Ondoa shaka hakuna ugumu wowote wa kwenda kusoma united kingdom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ondoa shaka hakuna ugumu wowote wa kwenda kusoma united kingdom

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sonelojunior, Jul 20, 2012.

 1. s

  sonelojunior Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yeyote anayetaka kusoma london in united kingdom kwa masomo ya biashara
  kwa level ya deploma, degree and master usisite kuwasiliana nami kwa namaba +447424887518
   
 2. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ndo nn sasa!!!!!!!!!
   
 3. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Utani,udaku,masihara au tangazo? Hujapigiwa simu muda mrefu nini? Kweli UK watu na internent tu, unawasiwasi line itafungwa? hii ndo JF ninayoijua? Maswali mengi bila majibu.
   
 4. f

  filonos JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Duu huyo kweli ni MTZ style yake tu ina julisha weka website......hayo mambo yasim ni longo longo
   
 5. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Dizaini kama vile umekosea jukwaa
   
 6. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  mkuu naona kama umeingia choo cha kike vile!
   
 7. M

  MBURE Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuh!!kama siyo mgeni basi una dhamira mbaya
   
 8. s

  sonelojunior Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ujue alazimishw mtu kuamini
  kwan kunaugumu gani wakwenda nchi za watu kama ukitimiza sheria zao
   
 9. N

  Nndu wa Selote JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 344
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Jamani mbona mnamshambulia sana jamaa wakati mnajua fika hapa ni kwenye jokes???
   
Loading...