Ondoa mitindo hasi kwenye maisha yako ili uwe mtu chanya

I am Bless

JF-Expert Member
Jul 23, 2017
231
517
Habari,

Niende moja kwa moja kwenye points,

1) Watu wenye akili nyingi hujadili fursa.
2) Watu wenye akili za kati hujadili matukio.
3) Watu wenye akili za chini/ ndogo hujadili maisha ya watu.

Hitimisho: Be honest with yourself, wewe upo namba ipi kati ya hizi hapa,

Hata kama kwenye reply utasema upo namba 1 wakati uhalisia wako upo namba 2 au 3 sawa ila fanya juu chini ubadilike.

"Be honest with yourself" 📌
 
hao wote watatu ni category za wenye akili ndogo
wenye akili hawajadili fursa, wanavumbua mamboz
 
Back
Top Bottom