Once in A Pack Of Wolves....Now A Lone Lamb and Left For Wolves...!...(LOS)

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,277
5,511
Mambo Mabaya Yamemkuta Sabaya...Ila Anawajibika kwa Mambo yote aliyoyafanya mwenyewe...

Ameachwa mwenyewe ila Matendo Aliyoyafanya...sio wa kuonewa huruma..
Akomae...Had to Grow up in A hard way...!

Kama alivyosema Vanila Ice Kuhusu Mambo Mfululizo yaliokuwa yanampaya Marion Suge knight...

Kwamba ukikimbiza gari..barabara ya vumbi unawatimulia watu vumbi..ila ukisimama ghafla vumbi lote linaingia ndani...sasa kwa scenario ya lengai..ni kwamba yeye hakufunga vioo..

Akamdharau MAMA...Now he was just A lone Lamb...left for a Pack of Wolves...who he belong before...
 
Back
Top Bottom