Once a cheater always a cheater | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Once a cheater always a cheater

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by naima79, Apr 21, 2009.

 1. naima79

  naima79 Senior Member

  #1
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 186
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Do you guys think that if a men/girl cheated in a past relationship, he will cheat in every other relationship he is in? Is it true that if a man cheats once, or in only one relationship, he will do it again and again? What do you think? :(
   
 2. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mmmh it depends na mazingira yaliyomfanya acheat mwanzo na mazingira atakayoyaface later, behavioural scientists wanasema ni vigumu sana kuweza kupredict binadamu atabehave vipi baadae no matter how many (times umemuona behaviour yake) years you have known him/her. Watu wawili ukiwaweka kwenye mazingira yanayofanana kwa kila kitu..hata kama they went thru the same life style in the past, mwisho wa siku kila mtu atafanya vitu kivyako kulingana na akili yake ilivyomtuma, maisha yake ya nyuma, exposure n.k
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  mmeguswa sana na mahaba eeeh!!!
  ukidanganya kisha ukajirekebisha labda uamue tena kudanganya.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,546
  Trophy Points: 280
  'Marriage or relationship is not a reformatory institution' ukimkubali mdanganyaji, umemkubali jinsi alivyo na vivyo ndivyo atakavyoendelea kuwa.

  Cheating ya aina yoyote kwenye love ni sign ya weakness of character, ni udhaifu ambao kadri unavyolelewa baadae unageuka tabia hivyo ukuiingia kwenye relationship na mtu wa aina hii, usitarajie mabadiliko.

  Kuna cheating za aina nne, ya kwanza ni upungufu wa mapenzi, hii ni cheating inachangiwa na mmoja wenu kutomtimizia mwenzie kimapenzi hali inayopelekea aliyepungungiwa kutafuta pa kujazia, akizoe inageuka tabia, hata umtimizie, bado atacheat.

  Cheating ya pili ni circumstatial, hii ni kujikuta umetingwa na shida za kimaisha, the only way out for your survival, ni kutoa penzi upate mahitaji, maisha yaendelee, ukishazoea, hata ukitimiziwa mahitaji, utacheat tuu hata bure.

  Cheating ya tatu ni tamaa za makuu haswa kwa kina dada/mama, mzee ndio mwenzangu na mimi, hali yetu ya kiuchumi inajulikana, mama anatamani hiki na kile, na kukubali kucheat ili apate atakacho, huyu naye akishazoea, ataendelea kucheat tuu.

  Cheating ya mwisho ni ugonjwa inaitwa 'unsatiable sexual apatite' huyu anakuwa hatosheki na mmoja hata ufanye nini. Mtu wa hivi ndio atatongoza kila kipitacho mbele yake, kuanzia marafiki wa mkewe, house girl mpaka watoto wa kuzaa mwenyewe, na kama ni mama, kuanzia dereva, fundi simu, fundi bomba mpaka msoma mita. Kwa vile huu ni ugonjwa, unahitaji tiba rasmi vinginevyo ni kilema kama vilema vingine.

  Kwa vile cheating ni weakness of character, dawa yake ni strength of character.
   
 5. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Inapatikana wapi hii? Nahitaji sana
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Apr 21, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Mimi nasema ndio kwa sababu kama hukuwa na will power ya kujizuia nini kitakufanya ujizuie tena safari ijayo? And I always say that beating the temptation to cheat is a good acid test for your strength of character especially when you know that no one else except the person you are cheating with will know.
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hivi cheats ndo wanaume wanaitwa viwembe? au vijogoo?

  Na vicheche ni akina nani?
   
 8. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Camilla Parker Bowles bought a new pair of shoes for her wedding to Charles, which got increasingly tighter and tighter as the day went on. That night, when the festivities were finally over and they retired to their room, she flopped on the bed and said, 'Charles, darling, please help remove my shoes...... my feet are killing me.' Her ever-obedient Prince of Wales attacked her right shoe with vigour, but it would not budge. 'Harder!' yelled Camilla. 'Harder?' Charles yelled back, 'I'm trying, darling! But it's just so bloody tight!' 'Come on, Give it all you've got.' she cried. Finally, when it released, Charles let out a big groan and Camilla exclaimed, 'There. Oh, God, that feels so good! 'In their bedroom next door, the Queen said to Prince Phillip, 'See? I told you with a face like that, she had to still be a virgin!' Meanwhile, as Charles tried to remove her left shoe, he cried, 'Oh, God, darling. This one's even tighter!' At which Prince Phillip said to the Queen, 'That's my boy, once a Navy man, always a Navy man.'
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...iwapo ana mpenzi wake, halafu ali cheat nawewe/fulani? ...sio lazima!

  ...theoretical sawa, lakini practically inawezekana sana tu "once a cheater,..." akishaingia kwenye ndoa akawa reformed!
   
 10. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Duh!! Hii balaa.........
  Anyway mi nadhani cheating is there and people can cheat today and not chaet tomorrow ila hii sio guaranteed kwamba you can predict ones behaviour depending on the happennings in the past!

  I just think much as anyone would not like to be cheated lets keep fighting our lust and greed!!
  Huwezi kushinda vishawishi kwa kukabiliana navyo ila tu kwa kuviepuka!!!
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Point!!!!!!!!!!!
   
Loading...