Ona wenzetu wanavyoteseka! Tusipende tu kubeza. Tuendelee kumshukuru Mungu na kumuomba aendelee kutulinda

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,942
4,316
Kama una muda soma hii hadi mwisho.

CC: Amsterdam Lawyers.

===========

Hundreds of health workers have tested positive and some have died, while health facilities are overwhelmed and government officials are accused of stealing funds for medical supplies.


A protest in Nairobi on Friday over allegations that almost $400 million in funds to fight the pandemic


By Abdi Latif Dahir
Aug. 21, 2020

NAIROBI, Kenya — Doctors in public hospitals say they have not been paid, some for as long as six months. They’re furious that they’ve been given faulty protective gear, or none at all. Hundreds of government health workers have fallen sick with the coronavirus, and yet many say their medical insurance was cut in July, just when hospitals became overwhelmed with cases.

The situation in Kenya’s public hospitals is so dire that thousands of doctors, nurses and laboratory technicians in at least three counties walked off the job this month. On Friday, they were joined by more than 300 doctors working in 20 public facilities in Nairobi, the country’s capital, and thousands more across the country are threatening to strike in September if their demands are not met.

The crisis comes as infections are surging, particularly in cities like Nairobi, and intensive care units in hospitals are filling up with coronavirus patients. The pandemic is now straining medical workers to the breaking point in a country known for having one of the better health care systems in Africa, experts say.

“Doctors are not martyrs,” Thuranira Kaugiria, secretary-general of the Nairobi branch of the Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union, said in an interview — a line he has since adopted as a hashtag. “Doctors are not children of a lesser God.”

Frustration among health workers peaked after a recent television exposé accused dozens of business leaders and government officials of corruption, alleging that they stole about $400 million in funds allocated to fight the pandemic. The country’s health minister, Mutahi Kagwe, told Parliament the allegations were “just fiction” but later, on Facebook, he promised changes. Some officials have been suspended. Authorities say they are investigating the alleged theft of pandemic-related donations from Chinese billionaire Jack Ma.

Protesters gathered in Nairobi on Friday, calling for those accused to be brought to justice.

“Doctors are not martyrs,” said Dr. Thuranira Kaugiria, who leads the health workers’ union in Nairobi, where more than 300 doctors just went on strike.
“Doctors are not martyrs,” said Dr. Thuranira Kaugiria, who leads the health workers’ union in Nairobi, where more than 300 doctors just went on strike. Credit...Brian Otieno for The New York Times

While Kenya was able to stem the spread of the virus by locking down early on, health officials have reported 31,763 cases and 532 deaths — a tally experts believe is low because of inadequate testing.
Coronavirus Schools Briefing:

The pandemic is upending education. Get the latest news and tips as students go back to school.
Sign Up

Doctors are demanding quality protective gear, comprehensive medical insurance, salaries paid on time, promotions and compensation packages and exemptions from duty for doctors who are pregnant or who have pre-existing conditions. Union officials have also urged the government to hire 1,000 unemployed doctors to bridge shortages.

Past doctors’ strikes have lasted for months, and this one is open-ended.

Kenya’s Health Ministry did not respond to requests for an interview. But Mercy Mwangangi, chief administrative secretary for the ministry, said in a news conference on Friday that counties have been improving hospital conditions and protective gear, and that the ministry is negotiating with the health workers.
Image

Kenyatta National Hospital in Nairobi. The situation in Kenya’s hospitals is so dire that thousands of doctors, nurses and laboratory technicians walked off the job this month.
Kenyatta National Hospital in Nairobi. The situation in Kenya’s hospitals is so dire that thousands of doctors, nurses and laboratory technicians walked off the job this month.Credit...Brian Otieno for The New York Times

With almost 48 million people, Kenya only has 9,068 licensed medical doctors, according to the Kenya Medical Practitioners and Dentists Council. The country has 537 intensive care unit beds, but only 256 ventilators, a recent study showed.

“Kenya’s health care system has always been one major disaster away from collapsing,” said Dr. Stellah Bosire, co-executive director of the East Africa Sexual Health and Rights Initiative.
ADVERTISEMENT

Covid-19 has so far infected 700 health workers and killed more than 10, according to the doctors’ union. These include at least 41 positive cases among workers at Kenya’s largest maternity hospital, Pumwani.

Union officials said a public health officer in the northeastern county of Wajir died because he could not get to a facility equipped with oxygen. A nurse in the western county of Homa Bay died of Covid-19 complications days after giving birth.
Image

“Kenya’s health care system has always been one major disaster away from collapsing,” said Dr. Stellah Bosire, co-executive director of the East Africa Sexual Health and Rights Initiative.
“Kenya’s health care system has always been one major disaster away from collapsing,” said Dr. Stellah Bosire, co-executive director of the East Africa Sexual Health and Rights Initiative.Credit...Brian Otieno for The New York Times

The poor quality of protective equipment is the main reason many health workers are getting infected, said Dr. Chibanzi Mwachonda, the acting secretary-general of the Kenyan medical workers’ union, who tested positive last month.

“There’s a false sense of protection,” he said.

The crippling effects of the walkout are apparent in Homa Bay county, where for 18 days now, 64 doctors and more than 4,000 health workers have been on strike, said Dr. Kevin Osuri Jr., a union official who works at Rangwe Sub-District Hospital, a public facility.

The coronavirus isolation centers in the county have been “abandoned,” he said, and patients who test positive are being sent home. The government has yet to call for a meeting with the doctors, Dr. Osuri said.

Kenya’s government was initially lauded for initiating mitigation efforts to curb the virus. But health officials say coordination between the national government and counties isn’t effective, with smaller hospitals left to fend for themselves.

“The ministry of health is like a mother that cut its cord with the counties,” said Dr. Rowena Njeri, a medical superintendent at a hospital in Murang’a County, north of Nairobi.

Dr. Njeri said authorities in Nairobi sent her permeable coveralls, which she only discovered while training health workers on how to use them.

“I felt fear for our health workers,” said Dr. Njeri, who manages 17 health centers and dispensaries with only two regularly-assigned doctors. “There was a sense of doom and uncertainty.”

Kenyan doctors recently launched a campaign to commemorate the life of Dr. Doreen Adisa Lugaliki, the first Kenyan doctor to die of Covid-19.

“The army that’s fighting the pandemic in Kenya is currently demoralized,” said Dr. Yubrine Moraa Gachemba, an internist at Nairobi Hospital, one of Kenya’s finest.
“The army that’s fighting the pandemic in Kenya is currently demoralized,” said Dr. Yubrine Moraa Gachemba, an internist at Nairobi Hospital, one of Kenya’s finest.Credit...Brian Otieno for The New York Times

Dr. Yubrine Moraa Gachemba, an internist and health advocate, said that even though she works at Nairobi Hospital, one of Kenya’s top private hospitals, all doctors are afraid.

“The army that’s fighting the pandemic in Kenya is currently demoralized,” said Dr. Gachemba.

SOURCE: Kenya’s Health Workers, Unprotected and Falling Ill, Walk Off Job
 
Sisi tuko salama. Hata matukio makubwa makubwa ya ujambazi yaliyokuwa yakitukumba kila siku enzi zile, Mwenyezi Mungu katuepusha nao. Hata yale maufisadi na marushwa makubwa makubwa yaliyokuwa yakiitesa nchi yetu, Mwenyezi Mungu katuondolea. Jamani, tuendelee kumshukuru Mungu kwa haya yote na kumuomba aendelee kutulinda dhidi ya watu wabaya (mashetani).
 
Lala ukue
Enzi hizo tulikuwa hatulali tukihofia kuvamiwa na majambazi yaliyosheheni silaha kubwa kubwa za kijeshi. Sasa tunalala unono! Na wengine hadi saa hizi wako sehemu sehemu wakistarehe bila ya hofu ya kuvamiwa na majambazi yakiwaamuru 'lalane chini', wala kuhofia social distancing.
 
Sisi tuko salama. Hata matukio makubwa makubwa ya ujambazi yaliyokuwa yakitukumba kila siku enzi zile, Mwenyezi Mungu katuepusha nao. Hata yale maufisadi na marushwa makubwa makubwa yaliyokuwa yakiitesa nchi yetu, Mwenyezi Mungu katuondolea. Jamani, tuendelee kumshukuru Mungu kwa haya yote na kumuomba aendelee kutulinda dhidi ya watu wabaya (mashetani).
Maufisadi makubwa Kama ya 1.5 tilioni hayapi mataga eti ?
 
Naomba kuuliza hivi mataga ni nini huwa nasoma humu JF lakini sijaelewa maana yake?
 
Naomba kuuliza hivi mataga ni nini huwa nasoma humu JF lakini sijaelewa maana yake?
Sidhani kama huyo Chief Kabikula atakupa jibu ya hicho alichoandika. Ni mind set tu za hawa rafiki zetu. Zinahitaji wanasayansi mahili wa kuzi set upya. It is not easy, it will take sometime.
 
Sisi tuko salama. Hata matukio makubwa makubwa ya ujambazi yaliyokuwa yakitukumba kila siku enzi zile, Mwenyezi Mungu katuepusha nao. Hata yale maufisadi na marushwa makubwa makubwa yaliyokuwa yakiitesa nchi yetu, Mwenyezi Mungu katuondolea. Jamani, tuendelee kumshukuru Mungu kwa haya yote na kumuomba aendelee kutulinda dhidi ya watu wabaya (mashetani).

Mkuu umesahau kumtaja Magufuli kwenye mabandiko yako.
 
Sisi tuko salama. Hata matukio makubwa makubwa ya ujambazi yaliyokuwa yakitukumba kila siku enzi zile, Mwenyezi Mungu katuepusha nao. Hata yale maufisadi na marushwa makubwa makubwa yaliyokuwa yakiitesa nchi yetu, Mwenyezi Mungu katuondolea. Jamani, tuendelee kumshukuru Mungu kwa haya yote na kumuomba aendelee kutulinda dhidi ya watu wabaya (mashetani).

Majambazi siyo wajinga kama wewe na wenzako huko CCM kujaribu kufanya kazi isiyo na tija na ya hatari. Mwizi anatumia akili kwenda kuiba mahali kwa sababu ana uhakika anachotaka kipo mahali hapo, ni salama kufanya kazi kwa muda mfupi iwezekanavyo na anajua na anakuwa amejiandaa kuwa kuna uwezekano wa kutofaulu na namna ya kujihami.

Polisi wanajisifu kama wengine serkalini kuwa wamewathibiti wezi na kupongezana kwa kazi nzuri ambavyo siyo kweli, ukweli ni kipaumbele ya mwizi ni fedha taslim ambayo toka Awamu hii iingie madarakani imepotea na kubaki na wa chache wa hukohuko Serikalini.

TAKUKURU nao wanajisifu rushwa imepungua lakini ukweli ni kuwa Sasa imezidi kwa ukubwa na usiri kwa sababu walarushwa ni vijana wamepewa madaraka makubwa bila kuwa na kisomo, ujuzi wala uzoefu wakijua hakuna kiongozi ajae wa Serikali, hata wa CCM, takae waajiri bila sifa wasomi wa vyuo vikuu wakizunguka na bahasha za khaki, kwa hiyo ni now or never kujitajirisha.

Mafisadi nayo yako palepale ndo maana Yale Mahakama yao yalifungwa kabla ya kuanza kazi mpaka hata yaliyokuwa yamefungwa na Awamu za nyuma walifunguliwa eti wamesamehewa.

Mahakamàni Kama miaka 10 iliyopita kulikuwa kunajaa watu mpaka mahali pakukaa palikuwa panakosekana lakina sasa watoto wanaweza wakacheza mpira maeneo ya Mahakama kesi zikiendelea nyingi zikiwa za kisiasa ambazo hazikamiliki kama za uchochezi, uhujumu uchumi, utakatishaji fedha, upotoshaji nk sababu ikiwa ni pamoja na wananchi kupoteza imani na Mahakama maana nako rushwa, ufisadi nk bado palepale. Mungu atuondolee uongozi tupumue!
 
Sisi tuko salama. Hata matukio makubwa makubwa ya ujambazi yaliyokuwa yakitukumba kila siku enzi zile, Mwenyezi Mungu katuepusha nao. Hata yale maufisadi na marushwa makubwa makubwa yaliyokuwa yakiitesa nchi yetu, Mwenyezi Mungu katuondolea. Jamani, tuendelee kumshukuru Mungu kwa haya yote na kumuomba aendelee kutulinda dhidi ya watu wabaya (mashetani).
Kwenye rushwa hapo kilipasuliwa kioo, taswira huwezi kuiona!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom