Ona Wanaojua Kufanya Kweli: Respect Kwa Rule of Law!

Apr 27, 2006
26,584
10,389
Beijing-China,

The former Ruling Comumnist Party boss of Shanghai, who was also a member of Central Committe, the most powerful ruling body in China, Chen Liangyu, was yesterday sentenced to 18 years in prison for taking bribes and abusing power. Prosecutors accused Mr. Chen 61, of:-

1. Helping to siphon hundreds millioni of dollars from the pension fund, in the process enriching himself, his friends and relatives, through shady financial and real estate deals.

2. Government auditors, said they discovered that about $ 4.8 billioni dollars, had been illegally taken out of the City's Social Security fund while Chen was serving the government in various positions.

3. Mr. Zhang, one of the richest man in China, who was also involved in Mr. Chen, illegal deals was sentenced to 19 years in prison last month.

Hii ndio China aliyoitengeneza Mao, fikra na itikadi zake ndio hizi, pamoja na kutokuwepo kwake bado sera zake zinaendelezwa na zinafanya kazi, Tanzania it is about time sasa tukaiga hiii mifano.
 
ndiyo maana tunasema turudi kwenye fikra zilizolijenga Taifa letu; Mao si alifanya madudu mengine... lakini yale hayakuondoa msingi wa ujenzi wa Taifa ambalo bado ni la Kikomunisti...
 
Thats good people of china they keep black and white,fear nothing but fear itself.Sisi tukiweza kuutoa woga basi ndio tutaendelea na sisi ,na si ujasiri wa kuingia msituni naozungumuzia hapa bali ujasiri wa kukataa vi-memo ,ujasiri wa kufanya kazi kama professional,kukataa mikataba mibovu hata kama unajua kuna mkono wa mkuu fulani,ujasiri wa kuweza kuwachukulia hatua wahujumu uchumi kama hivi China walivofanya.
Basi tunatakiwa tusihofu chochote zaidi ya kuhofuia hofu yenyewe isitukute cause fear is a sickness .Watu wanaogopa kupoteza kazi hivyo wanaruhusu uovu uendelee ila kama asilimia kubwa uwakitokwa na hofu na kugomea uovu inaweza kuwa moja ya hatua hatua itakayo fuata ni kufanya kazi kwa bidii tukijua nguvu zetu vinatumika vema.
 
Beijing-China,

The former Ruling Comumnist Party boss of Shanghai, who was also a member of Central Committe, the most powerful ruling body in China, Chen Liangyu, was sentenced to 18 years in prison for taking bribes and abusing power. Prosecutors accused Mr. Chen 61, of:-

1. Helping to siphon hundreds millioni of dollars from the pension fund, in the process enriching himself, his friends and relatives, through shady financial and real estate deals.

2. Government auditors, said they discovered that about $ 4.8 billioni dollars, had been illegally taken out of the City's Social Security fund while Chen was serving the government in various positions.

3. Mr. Zhang, one of the richest man in China, who was also involved in Mr. Chen, illegal deals was sentenced to 19 years in prison last month.

Hii ndio China aliyoitengeneza Mao, fikra na itikadi zake ndio hizi, pamoja na kutokuwepo kwake bado sera zake zinaendelezwa na zinafanya kazi, Tanzania it is about time sasa tukaiga hiii mifano.

jamaa anasubiri OLYMPIC GAMES ziishe then awasguhilikie wale walofanya SHESHE TIBET-LHASA.wale lazima wawajue BOY FRIEND WA BIBI WA BIBI WA BIBI ZAO kwa adabu kali watakayopewa.
 
Yes Mkuu FMES,

That is CLASSIC!!........sijui kitu gani sisi kinatushinda kufanya mambo kama haya

In Tanzania the MAIN problem is impunity! Sheria zipo, uwezo tunao ILA utekelezaji wa hizo sheria ndiyo tatizo kubwa. Inaelekea sheria ziko hususani kwa watu wa hali ya chini. Ukishakua kigogo, sheria hizo hazikuhusu tena.
Sirikali yetu inashindwa kuelewa kuwa justice is crippled when crimes go unpunished. Crime is made to seem lucrative whenever the 'fisadis' are left to roam around our beautiful country enjoying their ill-gotten wealth. It is sad to note that our government has been unwilling and unable to go hard on the EPA criminals instead they have ended up praising them 'for returning the money' while they are busy cutting plea deals all in the name of 'legal technicalities' just to exculpate the criminals..when all this is done justice is denied. And when that happens ethical and moral chaos seem complacent as it has been the case in Tanzania and many African countries. With social conduct and integrity compromised affecting our whole society
 
Wakuu wangu in this article tunaongelea Lowassa kula miaka 18 in prison, na Rostam kula miaka 19 in prison, kutokana na matokeo ya ripoti ya Mwakyembe, in Richomnduli!

OOOH yah! I said it, sasa hawa wa-China ndio tunaowaiga siasa zao, wewe unafikiri kwenye kula hiyo miaka jela kuna kiongozi anaweza kuzuka kuwa na dola millioni moja US hivi hivi bila maelezo yanayoeleweka? Si eti tunepata mambo kutoka China, mpaka wametujengea reli pamoja uwanja mpya wa mpira, sasa kwa nini tusiwaige na huku kwenye sheria?

I mean at least, namna hii tunajifunza makosa yetu kitaifa kwa nini tumedumaaa kwa kila kitu, unajua viongozi wetu wengi wanaotuchezea siku moja kama sisi wananchi watasiamama mbele ya Mungu wa haki na kujibu maswali ambayo ni very simple tu, "...Kwa nini ukiwa kiongozi hukufuata haki wala sheria?.."

Sasa sijui watajibu nini, maana according to the dataz nasikia Sir God, anapenda sana kuuliza swali moja kuwa "...kama wewe hukuweza kuwa na akili ya kufikiria haki na sheria mbona nilikuwekea mifano kule China..."

Wakuu tuendelee tu kuwapigia kelele, mpaka kieleweke!
 
ndiyo maana tunasema turudi kwenye fikra zilizolijenga Taifa letu; Mao si alifanya madudu mengine... lakini yale hayakuondoa msingi wa ujenzi wa Taifa ambalo bado ni la Kikomunisti...

Nadhani Tanzania hatuhitaji kurudi nyuma. Tunahitaji Fundamental changes za philophy ya utawala wetu. Kwa nini nasema hivyo?

1. Hebu nipe mifano hai ambapo kipindi cha mwalimu public servant ALIYEABUSE POWER ALISWEKWA GEREZANI, ZAIDI YA KUHAMISHWA IDARA? Hapa naongelea BIG fishes waliokuwa na maamuzi makubwa serikalini!

2. ideas hata ziwe nzuri vipi, bila kuwa na utawala wa sheria haziwezi kutusaidia lolote zinabaki kama mapambio ya kanisani!

Mwalimu alikuwa na brilliant aideas, lakini ile saratani ya kulindana hakuweza kuitibu na ndo imetufikisha hapa tulipo leo hii. watawala wa China ni mafias, lakini wanajua linapokuja swala la maslahi ya nchi NO BODY is above the law! Tanzania hata tungeletewa policies kutoka sayari ya mars, bila uwajibikaji na utawala unaoheshimu hizo sera, haziwezi kusaidia lolote. We have to have SANCTIONS AND ACCOUNTABILITY. Zaidi ya hapo tutakuwa tunayaota maendeleo...Arguably hatuwezi kuendelea kumlaumu mwalimu..lakini vile vile sidhani kama misingi aliyotujengea was so sancrosanct...

Leo hii Lowassa, Karamagi, Msabaha et al..wangetakiwa wawe Keko....but wananchi we are very busy cerebrating their corrupt and vices as heroic activities!!!!
 
First off I want to register my appreciation for the sentencing, if just, and recognition that we can use some more of this incident's exemplary behavior.

Having said that, I also want to put forward my opposition to the notion that China is championing the rule of law.

China haiwezi kuwa na rule of law mpaka senior party and government officials watakapokuwa subjected to the same law kama kila mtu.Sasa hivi rule of law China ni mfumo wa "top-down" uliotengenezwa na serikali.The Communist Party and it's higher echelon for ages has been above the law.

China does not exercise fairness, an element of Lord Bingham's 8 sub rules of the rule of law.For example there are many crimes punished disproportionately brutally with the death sentence.China does not respect international treaties of which it is a key signatory, an example is the use of incarcerated labor force in commercial production against ILO statutes and stipulations.

Moreover China can only realize a thin version of the rule of law that does not support liberalism, democracy and multipartysm.

Marekani wamem-impeach Nixon, that is the rule of law at it's finest.
 
Beijing-China,

The former Ruling Comumnist Party boss of Shanghai, who was also a member of Central Committe, the most powerful ruling body in China, Chen Liangyu, was sentenced to 18 years in prison for taking bribes and abusing power. Prosecutors accused Mr. Chen 61, of:-

1. Helping to siphon hundreds millioni of dollars from the pension fund, in the process enriching himself, his friends and relatives, through shady financial and real estate deals.

2. Government auditors, said they discovered that about $ 4.8 billioni dollars, had been illegally taken out of the City's Social Security fund while Chen was serving the government in various positions.

3. Mr. Zhang, one of the richest man in China, who was also involved in Mr. Chen, illegal deals was sentenced to 19 years in prison last month.

Hii ndio China aliyoitengeneza Mao, fikra na itikadi zake ndio hizi, pamoja na kutokuwepo kwake bado sera zake zinaendelezwa na zinafanya kazi, Tanzania it is about time sasa tukaiga hiii mifano.

Kuna thread niliweka hapa ikasogezwa. Kuna mtu anaitwa Mushobozi hapa alitoa mfano wa China na maendeleo, nikamwambia asiongelee mambo ambayo anajifanya anajua kumbe hajui;

http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=171674&postcount=16

Mambo haya yanatokea. Ishu ni wamekula na nani. At the end of the day, some will be sacrified. Either no one goes down or they all go down. I guess by now you must have figured out the situation in Tanzania.
 
Beijing-China,

The former Ruling Comumnist Party boss of Shanghai, who was also a member of Central Committe, the most powerful ruling body in China, Chen Liangyu, was sentenced to 18 years in prison for taking bribes and abusing power. Prosecutors accused Mr. Chen 61, of:-

1. Helping to siphon hundreds millioni of dollars from the pension fund, in the process enriching himself, his friends and relatives, through shady financial and real estate deals.

2. Government auditors, said they discovered that about $ 4.8 billioni dollars, had been illegally taken out of the City's Social Security fund while Chen was serving the government in various positions.

3. Mr. Zhang, one of the richest man in China, who was also involved in Mr. Chen, illegal deals was sentenced to 19 years in prison last month.

Hii ndio China aliyoitengeneza Mao, fikra na itikadi zake ndio hizi, pamoja na kutokuwepo kwake bado sera zake zinaendelezwa na zinafanya kazi, Tanzania it is about time sasa tukaiga hiii mifano.

Mkuu Es , kama Mwenyekiti wa Chama anaingia Butiama na kuwatoa hofu watuhimiwa ambao pia ni memba wa NEC na CC wengine washirika wa kisiasa na kibiashara then utategemea nini ? Fisadi kupewa adhabu ama hata kuzungumzwa sasa itakuwa taboo in few days to come ngoja utaona mwenyewe .China wako serious lakini CCM hawako na hawategemei kuwa CCM Tanzania ni Nchi ya walalamikaji lakini wakiambiwa walale nje siku tatu kuona haki wanaona wanapoteza muda wanakimbilia break point kunywa bia na kuanza kulalama toka bar .
 
Hivi kwa nini kwenye hii forum tunafikiria mambo makubwa sana wakati madogo tumeyaona mwisho wake . Do you think it is possible for Lowassa and other fisadis to be prosecuted by the same government that has allowed a cold blood killer "Ditto" to walk Scottie free? We need to ask ourselves first and foremost who has the audacity to enforce the law let alone prosecuting them .
 
Field Marshall Es,

Yoote tisa kumi uliposema RULE OF LAW!...
Tanzania hatuna kitu hicho na kila mara tunapopiga makelele kutaka mabadiliko ya Katiba hali sheria zilizopo tu hazifuati inazidi kukera zaidi...
Na ajabu ni kwamba hakuna mtu anayeweza kuinua mkono kuikemea serikali zaidi ya kutoa ushauri, ndipo linapokuja swala la kuilaumu CCM nzima (kila Mwafrika wa Kike) linaleta mantiki, hata kama wapo watu wenye uzalendo na nia nzuri...
Mkuu ikiwa best eleven wa team yetu ya CCM ni mabovu, kila siku tunafungwa magoli hivi kweli tunaweza kusema team yetu ni nzuri isipokuwa makosa ni ya kocha na baadhi wachezaji?.. Panga pangua tunaliwa, hivi kweli nani msafi huko CCM ikiwa hata kukemea nidhani ya kazi kisheria ni swala ambalo linatumika kwa wasiokuwa uwanjani....

Mkuu naanza kukata tamaa, sioni ndani kabisa kama wewe kiasi kwamba kilichobaki ni kusubiri huhumu ya hawa watu mbele ya Mungu!...

Duh! hii statement inazidi kuniweka ktk kundi la NDIVYO TULIVYO... kumsubiri MUngu atoe hukumu!..
 
Nadhani Tanzania hatuhitaji kurudi nyuma. Tunahitaji Fundamental changes za philophy ya utawala wetu. Kwa nini nasema hivyo?

1. Hebu nipe mifano hai ambapo kipindi cha mwalimu public servant ALIYEABUSE POWER ALISWEKWA GEREZANI, ZAIDI YA KUHAMISHWA IDARA? Hapa naongelea BIG fishes waliokuwa na maamuzi makubwa serikalini!

2. ideas hata ziwe nzuri vipi, bila kuwa na utawala wa sheria haziwezi kutusaidia lolote zinabaki kama mapambio ya kanisani!

Mwalimu alikuwa na brilliant aideas, lakini ile saratani ya kulindana hakuweza kuitibu na ndo imetufikisha hapa tulipo leo hii. watawala wa China ni mafias, lakini wanajua linapokuja swala la maslahi ya nchi NO BODY is above the law! Tanzania hata tungeletewa policies kutoka sayari ya mars, bila uwajibikaji na utawala unaoheshimu hizo sera, haziwezi kusaidia lolote. We have to have SANCTIONS AND ACCOUNTABILITY. Zaidi ya hapo tutakuwa tunayaota maendeleo...Arguably hatuwezi kuendelea kumlaumu mwalimu..lakini vile vile sidhani kama misingi aliyotujengea was so sancrosanct...

Leo hii Lowassa, Karamagi, Msabaha et al..wangetakiwa wawe Keko....but wananchi we are very busy cerebrating their corrupt and vices as heroic activities!!!!
__________________

Ndio uzuri wa Jambo forums, ina vichwa kila kona yaani ukifikiri umemaliza kuwahesabu vichwa hapa, siku zote unakuwa reminded kuwa kuna vichwa zaidi, Mkuu Masanja, hapa tuko the same page!

Ubarikiwe.
 
ndiyo maana tunasema turudi kwenye fikra zilizolijenga Taifa letu; Mao si alifanya madudu mengine... lakini yale hayakuondoa msingi wa ujenzi wa Taifa ambalo bado ni la Kikomunisti...

Mwanakijiji, na hii unaonaje? Ni poa?

China executes ex-head of food and drug agency
Zheng sentenced to death in May for taking bribes to OK substandard drugs

Associated Press
Updated 3:17 p.m. ET, Tues., July. 10, 2007

BEIJING - China executed a former director of its food and drug agency Tuesday for approving fake medicine in exchange for cash, illustrating how serious Beijing is about tackling product safety, while officials announced steps to safeguard food at next summer’s Olympic Games.

The measures include ensuring athletes’ food is free of substances that could trigger a positive result in tests for banned performance-enhancing drugs. Many of China’s recent food woes have been tied to the purity of ingredients, flavoring, artificial colors and other additives.

During Zheng Xiaoyu’s tenure as head of the State Food and Drug Administration from 1997 to 2006, the agency approved six untested drugs that turned out to be fake, and some drug-makers used falsified documents to apply for approvals, according to state media reports. One antibiotic caused the deaths of at least 10 people.

Halafu kule nasikia hakuna cha Wakili au mwendesha mashtaka ni Polisi tu anakusomea kesi na anasoma adhabu ya kupewa. Huyo jamaa ana bahati kwani kitendo cha rushwa ni shaba tu China. Labda hiyo Olimpiki imesaidia.

Na hapa kwetu Mamvi na wenzake walitakiwa wawe ndio mfano wa kuonyesha nanadhani mafisadi wangejiuliza mara mbili mbili kabla ya kuhujumu mali ya nchi - kuna wakati kutokana na mazingira ni lazima utumie mkono wa Chuma.
 
First off I want to register my appreciation for the sentencing, if just, and recognition that we can use some more of this incident's exemplary behavior. Having said that, I also want to put forward my opposition to the notion that China is championing the rule of law.

China haiwezi kuwa na rule of law mpaka senior party and government officials watakapokuwa subjected to the same law kama kila mtu.Sasa hivi rule of law China ni mfumo wa "top-down" uliotengenezwa na serikali.The Communist Party and it's higher echelon for ages has been above the law.

Mkuu wangu Pundint,

Inaelekea unasoma sana magazeti na siasa za US, huyu aliyefungwa China, alikuwa boss wa chama tawala cha China in Shanghai, halafu pia alikuwa member wa Central Committee, sasa haiwezi ku-get more than huyu ni seniority katika government au party's senior official, na amefungwa tena miaka 18, rafiki yake aliyekuwa the most rich man in China naye amefungwa miaka 19, uchunguzi umeonyesha kuwa huyu kiongozi wa Kamati kuu ya China, amekuwa akiiba kwa muda mrefu toka mwaka 1988, mkuu wangu naomba nikuambie one thing kuhusu China, ambako nimewahi kuishi kidogo, as far as the power is concerned, anayemzidi huyu kiongozi aliyefungwa ni rais na waziri mkuu tu wa China, basi kwa hiyo kufungwa kwa huyu kiongozi ni sawa na kufungwa kwa mjumbe yoyote wa cc bongo,

Hata Mama Mao, si unakumbuka the gang of six, jinsi walivyomsulubu baada ya mumewe kufariki, alipoataka kuleta ujanja, mkuu sema mengine kwenye the rule of law, wa-china wako mstari wako mbele kuliko hata US, kwa sababu kumbuka Nixon walimruhusu tu kujiuzulu ili asishitakiwe, lakini China hawana hiyo nafasi ya kukuacha ujiuzulu, ukipona kupigwa risasi mbele ya public, basi ni miaka 18 jela kama huyu mkulu,

However, China ina some domestic political ishus ambazo ni no body's business, kwa sababu hata US wanazo domestic ishus pia, wasingekuwa nazo yaani US basi wasingeweka raia wa nchi zingine kule Guantanamo, tena kwenye nchi ya watu na sio kwao yaani US. Kuna kina Mumia-Abdul wako huko Us kwenye death block toka miaka ya 70s, wakati inaeleweka kuwa hawana hatia, ninasema kuwa China ni numero uno kwa respect kwa the rule of law, haimbikishi kiongozi yoyote kuanzia wa juu mpaka chini, either unakula risasi au unakula miaka 18 jela, kujiuzulu sio an-option kabisaa huko,

Mkuu wangu Pundint, njoo tu ndugu yangu tujiunge kudai haki na hasa kwa viongozi wetu wa juu, na mifano ndio hiii tunapewa na China.
 
Back
Top Bottom