Ona Upuuzi Mwingine wa Masoud Kipanya

ina maana wewe huelewi nini kinaendelea kwa sasa tz na
kama umeshindwa kuelewa ujumbe wa masoud kaa kimyaa.....

tafsiri ya cartoon huwa ni changamoto kwa wengi, hivyo wasameheni, kosa lao ni ufinyu wa upeo,
katuni hii ina ujumbe mzito sana kwa nchi yetu!
 
Hakuna na sidhani! babu akiibukia hapa atachemsha sana tu. Kipindi kile wakubwa walilianzisha kwenda huko ili kututoa kwenye burning issue ya Richmond. Hapa wanatafuta zengwe lingine ili tuone madaktari hawana huruma na ni wauaji. Subirini.
 
Back
Top Bottom