Ona tangazo la biashara kwenye duka la mchaga

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,785
Pata sukari,mayai,baiskeli,kanga,pilau,walikuku,sambusa,tairi za trekta,madaftari,bia aina zote,petroli,matunda,nazi,vitumbua,mitumba grade 1,supu ya utumbo,mabati,vocha,mtego wa panya,pembejeo,makabati ya nguo,computer,juice na mboga mboga,mahindi ya kuchoma,bajaj,cement,leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu...
Aisee huyu mangi anawaza nini kwa biashara hii?
 
Wakwe zangu wana utani na wapare na mimi inabidi niwe mtani wao hehehe

Haya haya wachaga kumekucha
hahahaha
 
Kwani NAKUMAT si hivihivi tu. Mchagga kuwa na supermarket kama hii ni maendeleo ya Watanzania. Mhindi au Mzungu akiwa na supermarket sawa. Hongera baba kwa kufungua supermarket,,,,wenye wivu shauri yao.
 
Back
Top Bottom