Ona polisi wa kimarekani wakitoa kipondo kwa raia, lakini vyombo vya kimagharibi kimyaaa

vijana wakiandamana huku nchi zetu za kata wanagombea freedom yao wakiandamana UK au Amerika ni wahuni na vibaka hiyo ndo dunia ya leo.
 
Sms yake nikuwafundisha police wa bongo kutoa kipigo cha kistaarabu pindi tutakapo andamana kumwondoa jk madarakani
 
Back
Top Bottom