Ona picha ya mbwa aliekamatwa MOSHI kwenye bar moja akiwa tayari kwa ajili ya MISHKAKI na SUPU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ona picha ya mbwa aliekamatwa MOSHI kwenye bar moja akiwa tayari kwa ajili ya MISHKAKI na SUPU

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Mar 25, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  noma kumbe sio kwa wale wenzetu tu...hata huku wapo!
   

  Attached Files:

 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aisee hii ni mbaya sana. Jamaa wachukuliwe hatua kali za kisheria.
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kwangu mimi ni noma,ila nadhani walaji mbwa,wanaona poa tu!
   
 4. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  du !Iringa moja
   
 5. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  dah, hii hatari wakuu
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mshkaji yuko polisi kwa sasa!...ila nasikia bar yake imeshika namba moja katika shindano la namba choma moshi!
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nomaaa...kumbe wachaga nao noma kwa kitu ya dogii
   
 8. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh jamani kha
   
 9. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  mboga ya watani zangu wahehe
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Sikuamini mleta mada...

  Ingawa nadeclare interest... Mi ni Mchagga!
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nyama nyama nyama ya kuku nyama ya ...
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa kitu nahisi kitakuwa kitamu kuliko chairfire.....
   
 13. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Lean...
   
 14. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hehehe dah inavutia lol
   
 15. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Kwani nyama ya Mbwa ni sumu???????
  Acheni wajiachie jamani?
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  sijui ni uzuri au ubaya, nyama ya mbwa huwa laini sana afu haina shombo kabisa.

  Kama wanajua ku-marinate vizuri, nyama choma moja safi sana.

  Mahotelini tunakula mengi mno, as long as hatufi ya nini kununa.
  Afterall resources zinazidi kupungua
   
 17. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Yaani inamaana huyu mbwa wanataka kumchinja wamle au? Sijaelewa vizuri hapo mkuu.
   
 18. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Dah! Bibie Kongosho wewe ni mkali. Kumbe na wewe ni mmoja wapo?
   
 19. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 5,242
  Trophy Points: 280
  ndio maana hata darasani sio wote wanaopata mia. Nilikuwa "napita"
   
 20. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Jamaa hawawezi kuchukuliwa hatua hadi ithibitike hiyo nyama ina madhara kiafya kwa watumiaji, hapo ndipo nnapoichukia sheria ya tz.. Juzijuzi kuna mshenzi mmoja huku singida alikamatwa ikiwa ndio biashara yake kuuza nyama ya wooh woooh si akaachiwa kiulaiini eti kisa haikuwa na madhara kiafya
   
Loading...